Kupanda kwa gharama za maisha

sijui utaniita chawa wake ama kunguni,hainishtui ila najaribu tu kutumia akili sio hisia.

kama kutoka usukumani anaishi masaki halafu unaita ni kawaida tu sawa.
Kwa tunaoishi masaki kawaida sanaa mkuu, kuna wakinga, wachaga , wahehe, wahaya.... na sio kwamba masaki kote ni majumba makubwa makubwaa, zingine za kawaida sanaaaa , nandomaana nakushangaa! Kuishi masaki sio kumaliza mwendo ni huzuni kwakweli ! Nakutakia uchawa mwema bye.
 
kwani unadhani masaki ni kinachofanya kuitwa posh ni nyumba!!!sio nyumba ndugu ni ardhi ile,siwezi kumdharau aliyejenga masaki.unaona kawaida labda kwa sababu unaishi huko kama wale wanaopanda zile costa za gerezani.

nashangaa unaishi masaki ila umeshindwa kujua hilo.
 
Back
Top Bottom