chameleon
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 555
- 170
Jana nillenda kununa gesi ya kupikia mtungi wa Kg 6 ambao niliuziwa kwa Tsh 21,000. Naona kama kuna ongezeko la bei lisilokua na maelezo.
Nilitegemea kuwa gesi ingeshuka bei kutokana na upatikaji wa gesi toka Mtwara ili taifa liweze sasa kupunguza ukataji miti kwa ajili ya matumizi ya kuni na mkaa.
Hawa watawala wanatupeleka wapi?
Nilitegemea kuwa gesi ingeshuka bei kutokana na upatikaji wa gesi toka Mtwara ili taifa liweze sasa kupunguza ukataji miti kwa ajili ya matumizi ya kuni na mkaa.
Hawa watawala wanatupeleka wapi?