Za wewe kwenda Peponi moja kwa moja, endelea kumuamini Mungu tu! Siku ukifa we ni peponi tuSalaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Astral projection, is a term used in esotericism to describe an intentional out-of-body experience that assumes the existence of a soul called an "astral body" that is separate from the physical body and capable of travelling outside it throughout the universe.Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Ni dalili za kua rubani ongeza bidii kwenye masomo utimize ndoto yako achana na hao wengine wanaota wanakimbizwa na mashetani kila siku mpaka mengine yanawabakaSalaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Duu mkuu hii ni Mimi kabisaMm huwa naota niko shule advance mtihan una karibia alaf sijajiandaaa vzr, ndoto inaisha napanga au na jisemea ngoja nianzee kusoma kwa bidii
Mimi piaDuu mkuu hii ni Mimi kabisa
Pita hapa unaweza kuokota kakituLeo tena nimeota napaa!
Dah! asante ndugu! nmeisoma yote! ila mimi sijawahi kuhisi maluweluwe mwilini mwangu! na ndoto hii hunitokea wakati ambao kimatendo nipo vizuri kabisa! mwanzo wakati sijawajua wanawake ilikua inanijia kila mara! ila nilipoanza kufanya mapenzi na wanawake ile ndoto ikawa sioti tena! ila baada ya kuoa na kutulia kwa miaka 3 bila kutoka nje ya ndoa ndoto ikarud kwa kasi ya ajabu! haipiti wiki moja bila kuota napaa! tena watu hunionea wivu na kukusanyka kushangaa! ila mwaka jana baada ya kupata mchepuko kutokana na kufanya kaz mbali na mke wangu, ile ndoto sikuota tena, ila tangu nmeachana na mchepuko nakujiapiza kwamba sitatoka nje ya ndoa yangu tena, sasa mizi mitatu imepita bila kuchepuka, ndoto imerudi! Naota kila mara!Pita hapa unaweza kuokota kakitu
Hatimaye nipo huru
Hii ni simulizi ya yaliyomtokea mtoto wa marehemu rafiki yangu Mwinyi Mkila wa Bagamoyo. *********** 1. ALFA Nilifahamiana na Mwinyi Mkila katika harakati za kutafuta shamba Bagamoyo na hatimaye kwa msaada wake nilipata shamba kubwa eneo la Sanzale miaka hiyo ya 1980's. Mwinyi Mkila alikuwa...www.jamiiforums.com
Vipi leo kwa wydad?Leo tena nmeota! Ndoto tamu sana hii!
Mnyama keshashinda hii game tayari na watu tumeshaanza kusherehekea ushindi mnono.Vipi leo kwa wydad?
Ndiyo, kujikaza--hisia ya hasa mgongoni...Kiukweli ndoto hii imekua ikinitokea kilamara, tena unapaa huku watu wengine wanakutamani unavyoelea angani bila mabawa! Yaani nikitendo chakujikaza tu mwili (kukakamaa) tiyari unajiona kuanza kuiacha ardhi
Watakuambia yafuatayoSalaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Si tafsiri ndoto yako ila through mimi mwenyewe sana sana nikiwa mdogo pia 14 toSalaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Utaishi nnje ya Bongo na utapanda ndege sana kias itakuwa jambo la kawaida kwako...Si tafsiri hii ila nachukulia mimi nikiwa na 14,to 15 hii ilikuwa ndio ndoto yangu kiasi ilifika wakati nilikuwa naamini naruka sio kuota. Tafuta namna uweze kusafiri na uachane na nchi unayoipenda,yenye makelele kila kona Madereva husalimiana kwa kupiga Honi, kila mtu mfanya biashara...matusi ndio usiseme huwezi toka ukarudi nyumbani bila kutukanwa dukani kuhudumiwa ushababe wako sio kwavile wewe umetangulia upate huduma kwanza,oh raha za Bongo ni nyingi.Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Wewe unamwambiaje kwani??? Kwenda ulaya ni ngumu sana na haiwezekani au????Watakuambia yafuatayo
- Karibuni utakwenda Ulaya
- Utakuwa Nabii kama Eliya
- Utakuwa nabii kama Issa
Me hii ndoto kill siku yaan mpk najuag uwezo nilionao kweny ndoto ni kupaa kama nikiona hatar nappa niķitaka kuwah seem nappa kweny ndoto lakinKiukweli ndoto hii imekua ikinitokea kilamara, tena unapaa huku watu wengine wanakutamani unavyoelea angani bila mabawa! Yaani nikitendo chakujikaza tu mwili (kukakamaa) tiyari unajiona kuanza kuiacha ardhi