Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,520
- 8,270
Kiukweli ndoto hii imekua ikinitokea kilamara, tena unapaa huku watu wengine wanakutamani unavyoelea angani bila mabawa! Yaani nikitendo chakujikaza tu mwili (kukakamaa) tiyari unajiona kuanza kuiacha ardhiNgoja nami niibie jibu lako, japo huwa sifatilii saana haya mambo, ila nimeota nina uwezo wa kupaa kwamiaka na miaka.
Isijekuwa tushakuwa vigagula bila kujua, Mshana Jr katurithisha bila kujua.
Nawewe unaotaga ndoto kama hizi?
Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Acha kudanganya watu wewe jamaa.Ni moja kati ya dalili ya kupatwa au kutembelewa na mashetani.
kitakacho fuata Baada ya ndoto ya kupaa ni kuota upokatika matembezi na kupotea njia hujui uendako au unapajua ila mepotea njia na kuhangaika sana.
ikisha hiyo utaota unafukuzwa na wanyama wakali kama mbwa n.k au wanakuzuia kupita njia.
Sasa utakapo ota hizo ndoto nilizo kueleza nifahamishe.
Kifanyike nini baada ya kuota hivyo ili mafanikio yaweze kuja??Acha kudanganya watu wewe jamaa.
Kuota unapaa ni ishara ya mambo yako yajayo kuwa ya juu,
kwa ufupi soon utafanikiwa maisha yako yatakuwa na hali nzuri usivyotarajia.
Nimeota hiyo ndoto mwezi uliopita tena nikiwa na wife wangu tunapaa juu Ila Sisi tulikuwa Kwenye kama gari huku Mimi mwenyewe nikiendesha.....Acha kudanganya watu wewe jamaa.
Kuota unapaa ni ishara ya mambo yako yajayo kuwa ya juu,
kwa ufupi soon utafanikiwa maisha yako yatakuwa na hali nzuri usivyotarajia.
Duuu naomba iwe hivyo na Kwangu aisee...Ni ishara ya mafanikio
Mkuu kwamara yakwanza naanza kuota ndoto hii nilikua kama nnamiaka 11! Niliota kunavita imetokea na magaidi wameua watu wote! Nikabaki mie tu! Ndowakaanza kunikimbiza, kila nikipiga hatua nashindwa, mpaka magaidi wakanikaribia kwatofaut kama hatua 5 hivi! Mara nguv zaajab zikanijia! Nikajikaza nakuanza kupaa juu wale wa2 wasinipate! Kadri nilvyojikaza kwanguv ndokasi yakuelekea juu iliongezeka! Tangu hapo mpaka leo nmekua naota yaani napaa kwakupenda mwenyewe na nikitakakushuka nashuka bila wasiwasi! Wakat mwengine napaa mpaka watu wanaanza kunionea wivu! Huwa nawaza sana cjui maanayake nini.Pia inategemea kupaa kwake kunakuwa vipi...
Sio kila kupaa ni mafanikio..
Kama anapaa kwa usawa wa wastani ambao sio mawinguni kabisa + kutua chini kwa usalama basi ni kweli mafanikio yapo njiani...haswa kwa jambo lilokuwa likimtatiza.hapo tunasema Psychie power yake ipo active.
Ila kama ni tofauti...kuna shida mahala