Kuota ndoto umejinyea ina maana gani?

Kuota ndoto umejinyea ina maana gani?

Kuota nyumba yako au mahali pako pamejaa kinyesi ina maana kuna uchawi au ushirikina umefanyika hapo.
Lakini kama wewe mwenyewe hukujisaidia mahali hapo ina maana uchawi huo umefanywa na mwingine.

Kuota wewe mwenyewe umejinyea maana yake kuna mahali umejichanganya wewe mwenyewe kwenye ushirikina au mambo ya uganga au ulozi na umejichafua kweli kwei kwenye ulimwengu wa roho, Mungu akikuangalia anakuona unanuka mavi, hufai kusogelewa, hata malaika wa Mungu wanakukwepa.

Mambo hayo si lazima uwe umeyafanya leo, yawezekana hata ikawa miaka mingi nyuma iliyopita, hivyo kaaa chini ujichunguze sana.
Yawezekana ulikwenda kwa waganga au ulifanya ibada za wafu au mambo ya kimila ya misibani, au hata madawa ya kutafuta pesa.

Sasa katika ulimwengu wa roho unapewa tu taarifa kuwa mambo hayo yanakuchafua sana kiroho na hauwezi kupokea baraka za Kimungu kwako.
Au pia kwamba unayohangaika nayo hayawezi kufanikiwa kwa kuwa wewe umechafuka kiroho, unanuka kinyesi tena kinyesi cha kujinyea mwenyewe, unahitaji kujisafisha.

Kabla ya kulala ni vyema kumuomba sana Mungu akuonyeshe ni wapi ulipokosea ukajichanganya na mambo ya ushirikina ili akuelekeze cha kufanya kwa njia hiyo hiyi ya ndoto na utavuka kwenye hayo unayohangaika nayo.

Kumbuka taarifa hii inapokujia ina maana kuwa Mungu anataka kukuinua mahali na kukupigisha hatua, wakati wako wa kufanikiwa jambo fulani unakuwa umefika, sasa akikichungulia anakuona mchafu umejaa kinyesi, kwa kuwa yeye ni Mtakatifu anashindwa kukaa na wewe, anarudi nyuma.

Hakikisha unapambana kujinasua na hili, maana wakati wako umefika.
Mungu akubariki sana.
 
Mkuu PM yangu imeharibika meseji haziji ningekwambia uje pm nikupe maana halisi ya ndoto yako. Hebu jaribu kuni pm nitafungua meseji kwenye kompyuta badala ya app ya simu nikujibu.
mkuu Pm imegoma inakataa kabisa niambie tu hapa hapa
 
Kuota nyumba yako au mahali pako pamejaa kinyesi ina maana kuna uchawi au ushirikina umefanyika hapo.
Lakini kama wewe mwenyewe hukujisaidia mahali hapo ina maana uchawi huo umefanywa na mwingine.

Kuota wewe mwenyewe umejinyea maana yake kuna mahali umejichanganya wewe mwenyewe kwenye ushirikina au mambo ya uganga au ulozi na umejichafua kweli kwei kwenye ulimwengu wa roho, Mungu akikuangalia anakuona unanuka mavi, hufai kusogelewa, hata malaika wa Mungu wanakukwepa.

Mambo hayo si lazima uwe umeyafanya leo, yawezekana hata ikawa miaka mingi nyuma iliyopita, hivyo kaaa chini ujichunguze sana.
Yawezekana ulikwenda kwa waganga au ulifanya ibada za wafu au mambo ya kimila ya misibani, au hata madawa ya kutafuta pesa.

Sasa katika ulimwengu wa roho unapewa tu taarifa kuwa mambo hayo yanakuchafua sana kiroho na hauwezi kupokea baraka za Kimungu kwako.
Au pia kwamba unayohangaika nayo hayawezi kufanikiwa kwa kuwa wewe umechafuka kiroho, unanuka kinyesi tena kinyesi cha kujinyea mwenyewe, unahitaji kujisafisha.

Kabla ya kulala ni vyema kumuomba sana Mungu akuonyeshe ni wapi ulipokosea ukajichanganya na mambo ya ushirikina ili akuelekeze cha kufanya kwa njia hiyo hiyi ya ndoto na utavuka kwenye hayo unayohangaika nayo.

Kumbuka taarifa hii inapokujia ina maana kuwa Mungu anataka kukuinua mahali na kukupigisha hatua, wakati wako wa kufanikiwa jambo fulani unakuwa umefika, sasa akikichungulia anakuona mchafu umejaa kinyesi, kwa kuwa yeye ni Mtakatifu anashindwa kukaa na wewe, anarudi nyuma.

Hakikisha unapambana kujinasua na hili, maana wakati wako umefika.
Mungu akubariki sana.
asante Sanaa mkuu
 
Mimi najua tafsiri yake ila nasubiri kama na leo utaota tena umeshusha mwingine ndio nitakwambia kwa kina.
 
Wanaoamin ulimwengu wa roho wote akli zao haziko sawa...kama sio mazuzu...ndoto huwa zinakuja na kusepa..ukifata mambo ya kilokole na kishirikina humu utaishia kuwa kilaza , wengi wanaoamin hayo mambo huwa wanahamisha uwezo wa akli wa kutambua mambo na kuweka imani na lazima maisha yao yatakuwa kama misukule wanahangaishwa na vitu ambavyo hata havina maana na hyo ndo kazi ya mwafrika...Mungu ashaachana na kuwasiliana na watu kwa njia ya ndoto..Yesu alimaliza msalabani, sa hv huwez ona malaika anakuja kuongea na ww hyo haipo...Mungu anawasiliana na watu kupitia maandiko matakatifu na sisi tunawasiliana nae na kumpa mrejesho kupitia maombi...tatizo now days biblia ishapata wajuaji wengi..!! kila mmoja kaoteshwa
 
Kunywa pombe Ni dhambi?
 
Wadau me jana nimeota hiyo ndoto jamani ina maana gani
 
Usiku was Leo sijui Jana niseme niliota ndoto mbili tofauti mojawapo ni hiyo yakujinyea nimeota alafu nikajisafisha yani nikazivua nguo zile chafu . nyengine ni nimeota nipo na ukaribu na vichaa au wendawazimu wanacheka wanafurahi sana mie pia ikawa nawashangaa hawa matahira vipi ikafika muda ikawa naendelea kuwa nao karibu nafurahia nao waliokuwa na furaha ya ajabu wale wendawazimu ikapelekea mimi kuwashangaa kujikuta nakuwa nao karibu . MziziMkavu na Mshana Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom