Kuongoza watu uliowazidi umri

Menejimenti ni sanaa ya kutekeleza majukumu yako kupitia watu wengine. Kwa hiyo inakupasa kuwa msanii bora katika jumba la sanaa ili usanii wako uweze kuonekana.

Piga kazi kijana, umeaminiwa na wewe unapaswa kujiamini.
 
Nani kakuambia uongozi ni umri ?
Ungeleta uzi kuwa umepewa kuwaongoza watu waliokuzidi AKILI HAPO NDIYO INGEKUWA SHIDA MAANA SI SAHIHI KUWA ONGOZA WATU WALIOKUZIDI AKILI ...UONGOZI NI AKILI SIYO FEDHA WALA UMRI WALA ELIMU ..... MFANO TANZANIA KWA SASA TUNAONGOZWA NA KIONGOXI MWENYE AKILI FINYU SANA SHIDA IPO HAPO. NA SIKU ZOTE KIPNGOZI ASIYE NA AKILI UCHAGUA WAPUMBAVU WENZIE ILI KUONGOZA NAO ..
 
Kuwa tagged sio issue deal na mada iliyopo
Wapi mimi nimesema kua tagged ni deal?

Ndio maana nikamuuliza mleta mada kua pengine hao ndio anao waamini kua watampa majibu sahihi? ndio maana nikamuuliza kua je anapokea ushauri wa watu wengine pia?
 
Nenda kaongee na HR awape training ya maadili,nidhamu,majukumu ,dos and donts sehemu za kazi ,hapo atakuwa amekurahisishia KAZI.
 
Ishi tu katika kanuni na misingi husika ya kazi yako, epuka kujikweza na tenda haki

Ijapokuwa siyo Kila mtu atakufurahia, pia jiandae kwa rafu maana mioyo na dhamira za watu wengi maofisini siyo njema siku zote

Kila la heri
 
Acha kudanganya wenzako kijan.
Huwez kuongoza watu tena kazini bila kupendwa halafu ukawa na amani au kuwa control.
Wewe unabishana na MACHIAVELLI.We unambishia mwanafalsafa aliyekulia kwenye korido za falme takatifu enzi hizo katika ufalme wa Italy.

Kijana kaa ukijua CHEO sio cha kila mtu.Uongozi sio matako.Unahitaji ujiamini,msimamo na dhamira ya dhati.

📌Democracy is an illusion for the fools!!!
 
Tafuta Mzee mwenzao ambaye wote wanamheshimu sana, mfanye awe rafiki yako. Maisha yatakuwa rahisi sana kwako. La Quica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…