Kuongoza watu uliowazidi umri

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,352
Reaction score
3,174
Wakuu situation imenikuta kua nimekuwa kiongozi wa watu ambao ni watu wenye umri kunizidi.

Yani katika watu 10 mimi nimechaguliwa kuwaongoza na ndio mdogo wa wote. Mimi niko early 30s ila kwenye team kuna wenye 50+

Niishije na hao ma legend ambao wako mda mrefu kazini.

Ku act hii position miezi kadhaa imenipa changamoto sana.

loose Nut Chaliifrancisco min -me Mahondaw Lamomy binti kiziwi Mshana Jr Kiranga
 
Nyooka wewe kwamza usiwe na kona kona
Fuata utaratibu ,kanuni na sheria
Punguza ushkaji kazini na kama unao hao ndio wawe wa kwanza kufuata taratibu za kazi.
Usiwaogope, waheshimu ila zingatia sana miiko ya kazi.
Nyeupe iwe nyeupe nyeusi iwe nyeusi.
Ongea na watu huku ukiwatazama usoni.
 
Kuna wana wanachukulia advantage mtu anakutumia tu text kuwa kesho sitakuja kazini basi
 
Simamia misingi,kanuni, sheria na taratibu za kazi.

Usicheke na nyani.Yaani ukiweza be serious mda wote.

Watakutega,watakuwa hawafanyi kazi wala kuzisubmit,utapigwa majungu utafanyiwa fitna kiwango cha MOTONI.

Ukionyesha kuogopa umri wao,watakuvuruga mpaka uone ofisi chungu.


NB:Hao wote wanakuona wewe adui, umechukua nafasi yao.Jipange bwana mdogo!!!

#ukiweza usiwe unakulakula hovyo humo ofisini maana wakipata upenyo wanakurudisha mavumbini,punguza favours kutoa na kupokea.

Aliyekupa cheo kuongoza hao wanga(wachawi), amekupa mtihani haswa.
 
Kuna wana wanachukulia advantage mtu anakutumia tu text kuwa kesho sitakuja kazini basi
Hapo ndio mahala pazuri pa kuanzia. Na siku za kwqnza ndio nzuri za kuweka msingi kwa watu kutokukuzoea vibaya.
Utaratibu wa ruhusa ni upi? Ni wa maandishi au ? Kama ndivyo Mwambie aufuate.
Majukumu yake anayabena nani asipokuwepo, mwambie abainishe.
Haya yote yatakua hayawekan kama huta establish formalities (kama hazipo ,ziweke).
 
Una roho ya kike roho ya wivu mwanaume kama binti sa umeumia nn jamaa kuwatag hao watu
Wewe Papai kama mumeo ameshindwa kukukoboa,usiniletee mimi hizo hasira zako,

Soma vizuri comment yangu na uielewe,nimemuuliza swali mleta mada,alitakiwa ajibu Yes or No,sasa wewe Punga sijui umetoka wapi huko na kuanza kujitongozesha kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…