Kuongezeka kwa michepuko (nyumba ndogo) nini sababu

Kuongezeka kwa michepuko (nyumba ndogo) nini sababu

Ubinafsi wa kutaka uridhishe moyo kwa kila unachokitaka na kusahau hakuna aliyekamilika. Baadhi ya watu kuolewa/kuoa kutimiza wajibu na sio kuiwajibikia ndoa.
Mungu endelea kunifanya niwe kama nilivyo michepuko ikae mbali nami Ameen
 
I don't care. as long as he loves me, taking a very good care of me provide me with anything I want taking me to the paradise that's all. Hata nimfumanie @Smar911 live Katu simuachiii... SIMUACHII NG'O
He make live life.. Classic one..

Mahondaw wa Smart911
Hugs and kisses to you mahondaw wangu... I love u...
 
Halafu ukichunguza sana utagundua kuwa wanaume maskini au middle class ndio wanaochepuka sana.

Jiulize kwanini

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Kwasababu ngono ndio starehe ya pekee wanayoimudu hata Kwa free p.
 
Back
Top Bottom