Kuongezeka kwa michepuko (nyumba ndogo) nini sababu

Kuongezeka kwa michepuko (nyumba ndogo) nini sababu

Mto ngono ni starehe ya maskini.
Hakuna mbadala wake.

Wewe , chunguza wachepukaji wengi utagundua kabisa uchumi wao ni majanga.
Mfano mshahara wa 250,000/= - 3m.
Lakini mtu salaries kuanzia 5m kwenda juu hii rank ni mawazo ya kazi na hela tu.

Afrika ukiona mtu ana hela ( green package ) bado anachepuka ujue karumanzila yuko kazini.
Safi sana poise! kweli wewe ndio unaijua vizuri jamii yetu
Tena wenye pesa ndo wanaongoza haki ukimkuta mume mwenye pesa ambaye hachepuki ni bahat

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app


sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Sasa hiyo zamani Gani ambayo watu walikuwa hawachepuki wakati walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja??
Mf babu yangu alikuwa na wake 7.
Kuna haja Gani ya kuchepuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi wana jukwaa
Naina hili jambo linashika.kasi sana duniani
Haswa tanzania yetu
Miaka ya zamani hili jambo halikua kubwa
Na asilimia 70 au 80 ya wachepukaji jinsia.inayoongoza ni ya kiume
Siku hizi kila mwanaume kati ya.5 wenye wake zao 3 wana michepuko
Hii hali ni tishio.sana
Chanzo au sababu ya kuongezeka kwa uchepukaji ninini?
Nashindwa kuelewa tatizo ninjni? Na kwanini linakithiri miaka hii?
Haswa wanaume ndo wachepukaji wakubwa pamoja na kuwa na wake zao
Jee sababu ninini haswa michepuko kuongezeka.miaka ya hivi karibuni?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Wanaochangia wanaume kuchepuka ni wanawake kwa 99.9% kwani hatakama kwanaume umuonyeshe upendo wa kumuogesha atahic kuwa amekuteka kumbe ni mahaba na mwisho wa cku wana jisahau na kuanza kukupanda kichwan na kukutawala yaan hata kwichkwich mpaka yy ajickie au akuonehe uruma bila kujar ww ni nani kwake ndio hapo mwanaume apochikua uwamuz wa kutafuta farja nje hata kwa garama gani.Na ucji danganye kuwa wanawake wote ni sawa hapana kwa mtafunaji ndio anafahamu kuna utofaut kat yao
 
Kwa sababu wanawake wengi waliopo kwenye ndoa wamekuwa wana kazi ya kuwanyegesha waume zao tu,maana hawawapi utamu wanapotaka,inasababisha wamalizie nyege zao nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatumchi Mungu ni sababu ya kwanza,.kukua kwa technology, maadili kupungua kwa rika zote, ongezeko la idadi ya watu duniani.
 
Hali ngumu kwa mabinti, Na Tamaa ya NGONO kwa walioko kwenyewe ndoa

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
jifariji tuu ukute anapewa vitu vitam huko nje na tigo anapewa

Sent using Jamii Forums mobile app

I don't care. as long as he loves me, taking a very good care of me provide me with anything I want taking me to the paradise that's all. Hata nimfumanie @Smar911 live Katu simuachiii... SIMUACHII NG'O
He make live life.. Classic one..

Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom