The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,114
- 115,927
- Thread starter
- #81
I was just watching how Obama lifted USA out of bad state... kwakweli bado tuna safari ndefu...
Mkubwa alifacilitate circulation ya pesa na commodities, sisi naona tumechagua the opposite route ya kubana
Risk ya kubana na kulimbikiza everything centrally ni pale kwenye disaster zozote zile
Umeona Magufuli anataka Serikali iagize sukari
mifuko ya jamii iwekeze kwenye viwanda
serikali ifanye hiki na kile...
hii ni disaster in the making.....
hakuna facilitation ya watu kufanya chochote
hata kuhoji tu hairuhusiwi.....