Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Mkuu, wafanyabiashara wengi wa Kariakoo walikuwa hawalipi kodi. Baadhi ya makontena ya wajanja yalikuwa yanaishia Kariakoo huku walioleta wakijifany wao ndiyo TRA. Hakuna kitu serikali ilikuwa inapata pale.
Hao wakianza kufanya biashara, haileti tofauti yoyote kwenye mapato ya serikali. Huyo TRA wao (HSC) ndiyo alikuwa akifaidi.
Ngoja tufunge maduka tuone mtakakopata hela sasa .
 
Ngoja tufunge maduka tuone mtakakopata hela sasa .
Maduka ya wakwepa kodi yafungwe tu. Watajitokeza wafanyabiashara halali na kufanya biashara hizo. Kutakuwa na kipindi cha mpito chenye matatizo lakini mwishowe mambo yatakaa sawa.
Tanzania haitakuwa ya kwanza kupitia mchakato huo. Afterall, hao "wafanyabiashara" wataishi vipi? Hili linauma sehemu zote. Wengine watafilisika kimoja!
 
Kwa nidhamu yetu ya woga,
Hapa Lumumba hawawezi kukubaliana napo,

Nimesikitika leo aliyekuwa kampeni meneja (Bulemboo)
Akisema bajeti hii ni chereko chereko kwa wamaskini....kweeeeli jamani?

Kweli shule ni muhimu mana huyu ni darasa la 7,
Ila kwa sisiem hata uwe nayo bado haitatumika.
Ishu kubwa ni kwamba hamkuzoea na kutambua kwamba maendeleo ni kodi. Siwalaumu akina ninyi kwani mlizoeshwa kuletewa, kuazimwa na kupewa mikopo na wahisani ili mujimudu wakati wanawachora. Somo kubwa hapa ni moja, je kodi inayokatwa itarudi kama maendeleo kwa wananchi? ikiwa itarudi mie binafsi sioni ubaya wa kaisari. Ubaya utakuja endapo kodi hii haitarudi kwetu kwa njia za kimaendeleo, over! Ni vizuri tukawa waongeaji wa kiasi huku tukiendelea kusoma vitabu. Usianze kupiga kelele kama vile uko jandoni unakatwa ama unachinjwa, na wala haitaji kuanza kutengeneza enermity kwa jamii kama mtu mbumbumbu, time fact counts much over shouts.
 
Maduka ya wakwepa kodi yafungwe tu. Watajitokeza wafanyabiashara halali na kufanya biashara hizo. Kutakuwa na kipindi cha mpito chenye matatizo lakini mwishowe mambo yatakaa sawa.
Tanzania haitakuwa ya kwanza kupitia mchakato huo. Afterall, hao "wafanyabiashara" wataishi vipi? Hili linauma sehemu zote. Wengine watafilisika kimoja!
Basi haya mkuu , tuendelee kuishi tujionee .
 
Kazi tunayo... Shida ni serikali kutaka kuachieve 10 years success in one year.... They need to take it one step at a time

Tuna shida kubwa ya mifumo na efficiencies... Hata wakikusanya ngapi, bado matumizi yatatusumbua; vilevile if the government tightens everything sasa basi wanaweza kukausha kabisa vyanzo vya mapato na kutufanya tuanze upya

I hope kutakua na revision ya hizi hasty decisions

Nafikiri mentality ni kuwa 'wanajua kila kitu' ndo innayo waponza
wanajiamulia tu vyovyote vile bila kujali...
 
Namuombea kwa Mungu apate busara ya kugundua kwamba yeye ni kiongozi, kiongozi anatakiwa kutumia lugha ya matumaini na kuwekeza kwenye faraja... Kiongozi na uongozim hutawaliwa na busara, hasa katika kipindi hiki kigumu na cha mpito

I hope watagundua kwamba watanzania wote, maskini na tajiri wanahitaji zaidi kushikwa mikono na sio kufuata maelekezo ya mikono

Tuliambiwa huyu D Mpango ni genius mwenye mipango kibao lakini awamu ya nne hawakumsikiliza
now huyu huyu leo anaonyesha upungufu wa waziwazi wa kuongoza na kuja na mbinu mpya za kiuchumi
hii bajeti tunaweza sema 'the worst ever'....
 
Tangu serikali hii ya tano iingie umekuwepo na msisitizo wa kukusanya kodi mkubwa
lakini hata hivyo imekuwepo na tabia za kupandisha kodi maeneo mbalimbali kiholela

na hata hii bajeti ya sasa inaonesha wazi serikali hii ya awamu ya tano wanachotaka
wao ni kodi tu hata kama kodi hiyo 'itaua' baadhi ya biashara za watu....

Ukweli ni kwamba wanachokifanya ni 'kumkamua maradufu ng'ombe maziwa' huku ng'ombe mwenyewe
hana afya ya kutosha na chakula chake kinazidi kupungua......

Kwa mwendo huu umasikini utaongezeka......biashara zitakufa na hayo mapato yatapungua

Ilikuwa busara zaidi ng'ombe akaongezewa kwanza chakula na matunzo na hata kupunguza
kumkamua kwanza ili anawiri ndo ukamuaji ufuatie......

Mentality kuwa watanzania wengi wana pesa na hawalipi kodi ni hatari sana...
Ukweli ni kuwa watanzania wengi ni masikni na wanaishi kwa kubangaiza zaidi
biashara rasmi ni chache sana na gharama za umeme,kodi na nyinginezo ni kuubwa sana...

Serikali ilipaswa kutumia nguvu kubwa kwenye 'new economy' na Utalii...ambako hakuna
mafanikio ya kuridhisha......kuliko kukazania kuongeza kodi kwa mwananchi....

kodi zinavyo zidi na umasikini unazidi

.
Nyinyi nyumbu mmetuchosha kila siku kulalamika tu,.

Sasa fanyeni nyumbu migration muhamie nchi yoyote isiyo na kodi.
 
Kila bajeti ikipita malalamiko ni haya haya...

Sasa kama kila mwaka kuna malalamiko tusilalamike tena hata kama tunaona mapungufu?
bajeti ya kila mwaka ni kuongeza kodi ndo maana malalamiko hayaishi
 
Mkuu, wafanyabiashara wengi wa Kariakoo walikuwa hawalipi kodi. Baadhi ya makontena ya wajanja yalikuwa yanaishia Kariakoo huku walioleta wakijifany wao ndiyo TRA. Hakuna kitu serikali ilikuwa inapata pale.
Hao wakianza kufanya biashara, haileti tofauti yoyote kwenye mapato ya serikali. Huyo TRA wao (HSC) ndiyo alikuwa akifaidi.

Hiyo yako wewe ni mentality hatari sana
Una assume tu kuwa wafanyabiashara hawalipi kodi
wakati TRA wanakagua hayo maduka kila siku
leseni za biashara wanazo......
na sasa unataka biashara zao zife ili tu uridhike kuwa walikuwa hawalipi kodi
una ushahidi au assumptions?
 
Sasa kama kila mwaka kuna malalamiko tusilalamike tena hata kama tunaona mapungufu?
bajeti ya kila mwaka ni kuongeza kodi ndo maana malalamiko hayaishi
Nimekusaidia tu kuwa malalamiko ni yale yale, hata bajeti ijayo mwendo utakuwa huu huu.....sasa tunafanyaje? Tuendelee kulalamika tu kama machozi ya samaki baharini?!
 
Nimekusaidia tu kuwa malalamiko ni yale yale, hata bajeti ijayo mwendo utakuwa huu huu.....sasa tunafanyaje? Tuendelee kulalamika tu kama machozi ya samaki baharini?!

Serikali kali hii ina 'wajuaji'
kwa hiyo ni bora tulalamike tu iingie kwa records for now
wakikwama watarudi kukumbuka ushauri wetu
 
Hiyo yako wewe ni mentality hatari sana
Una assume tu kuwa wafanyabiashara hawalipi kodi
wakati TRA wanakagua hayo maduka kila siku
leseni za biashara wanazo......
na sasa unataka biashara zao zife ili tu uridhike kuwa walikuwa hawalipi kodi
una ushahidi au assumptions?
Wale wanaolipa kodi wanajulikana na haijawahi kuwa issue. Wale wengine walipozoea super profit kwa kutolipa kodi ndiyo ninaowazungumzia. What difference does it wakafunga biashara zao haramu? Biashara inayokwepa kodi ni haramu tu. Haina jina lingine. Vingapi watanufaika na kodi za wengine?
Better 10 businesses paying tax than a thousand not paying!
 
Mbona unachanganya mambo?
mada hapa ni kuongeza kodi
mada sio wanaokwepa kodi iliyopo
mada ni kuwaongezea wanaolipa tayari

wanaokwepa watakwepa tu hata iongezwe vipi
 
Mkuu hii kauli ina dosari, kama mtu anaipenda Tanzania kwanini asiitendee haki na kupambana na akina Lugumi, escrow, Wakwapuzi wa UDA, Pride n.k. Kwanini anaendelea kuwakwepa hawa? Kwa faida ya nani?

Magufuli anaipenda Tanzania, ila hawapendi watanzania.!
 
Mkuu, wafanyabiashara wengi wa Kariakoo walikuwa hawalipi kodi. Baadhi ya makontena ya wajanja yalikuwa yanaishia Kariakoo huku walioleta wakijifany wao ndiyo TRA. Hakuna kitu serikali ilikuwa inapata pale.
Hao wakianza kufanya biashara, haileti tofauti yoyote kwenye mapato ya serikali. Huyo TRA wao (HSC) ndiyo alikuwa akifaidi.

Sasa ndo biashara imezorota. Hela wameficha benki. Mzunguko wa fedha umepungua.
 
Mimi nitakwepa kodi kadri niwezavyo
Siwezi lipa afu wanafanyia ujinga ujinga kama wa NEC
 
Mbona unachanganya mambo?
mada hapa ni kuongeza kodi
mada sio wanaokwepa kodi iliyopo
mada ni kuwaongezea wanaolipa tayari

wanaokwepa watakwepa tu hata iongezwe vipi
Always kuongeza kodi ina involve kuhakikisha wanaostahili kulipa wanalipa. Ni dhahiri wakwepaji watakuwepo tu. Lakini that should a minimal number.
Haina maana yoyote kuanza kupanua wigo kama kodi ambazo zipo kisheria hazikusanywi kama ilivyokuwa awamu ya nne.
Hushangai waleta makontena hawaleti tena lakini kodi inaongezeka?
 
Katika nchi zinazoongoza katika ukusanyaji hafifu wa mapato unaosababishwa na inefficiency,Tanzania yetu inaongoza katika ukanda wetu ....

Kodi ni lazma itiliwe mkazo yaani watu wengi waingizwe katika mfumo huu lakini ili hili lifanikiwe,
Lazma huduma za kijamii ziboreshwe ili wanachi wahakikishiwe kuwa kodi yao inawanufaisha
 
Back
Top Bottom