Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Tangu serikali hii ya tano iingie umekuwepo na msisitizo wa kukusanya kodi mkubwa
lakini hata hivyo imekuwepo na tabia za kupandisha kodi maeneo mbalimbali kiholela

na hata hii bajeti ya sasa inaonesha wazi serikali hii ya awamu ya tano wanachotaka
wao ni kodi tu hata kama kodi hiyo 'itaua' baadhi ya biashara za watu....

Ukweli ni kwamba wanachokifanya ni 'kumkamua maradufu ng'ombe maziwa' huku ng'ombe mwenyewe
hana afya ya kutosha na chakula chake kinazidi kupungua......

Kwa mwendo huu umasikini utaongezeka......biashara zitakufa na hayo mapato yatapungua

Ilikuwa busara zaidi ng'ombe akaongezewa kwanza chakula na matunzo na hata kupunguza
kumkamua kwanza ili anawiri ndo ukamuaji ufuatie......

Mentality kuwa watanzania wengi wana pesa na hawalipi kodi ni hatari sana...
Ukweli ni kuwa watanzania wengi ni masikni na wanaishi kwa kubangaiza zaidi
biashara rasmi ni chache sana na gharama za umeme,kodi na nyinginezo ni kuubwa sana...

Serikali ilipaswa kutumia nguvu kubwa kwenye 'new economy' na Utalii...ambako hakuna
mafanikio ya kuridhisha......kuliko kukazania kuongeza kodi kwa mwananchi....

kodi zinavyo zidi na umasikini unazidi

.
Wachunguzi wengi wanasema ni vema watanzania wakamuliwe hadi damu na ikiwezekana wengine wafe kwa njaa ili wajue umuhimu wa kung'oa ccm madarakani , binafsi nimefurahishwa sana kwa masikini kukomeshwa .
 
Ni muhimu mipango yetu ianzie na mtu mmoja mmoja namna atakavoongeza uzalishaji na namna serikali itakavyomsaidia. kutoka hapo tutaenda katika vijiji na taasisi. kila kijiji na taasisi zibainishe mipango yake itakayoongeza ufanisi na uzalishaji na nafasi ya serikali. Taasisi kama magereza, JKT nk vikitumiwa vizuri na serikali ama kuwakopesha au kuwawezesha kupitia mipango yao.
Sera za serikali zinazolenga kuharakisha kukua kwa uchumi hasa viwanda na biashara, sera ya kodi n.k lazima ziwe bayana.
Ni lazima mipango iwe bayana na inayopimika na ishirikise watu wote wanaohusika. kwa vyovyote tukifuata utaratibu huu uchumi uta accelerate haraka.
Kama tunafikiri uchumi utakua wakati kila mtu hajui binafsi atafanya nini tofauti na siku za nyuma kukuza uchumi tutajidanganya sana tu.
 
Kazi tunayo... Shida ni serikali kutaka kuachieve 10 years success in one year.... They need to take it one step at a time

Tuna shida kubwa ya mifumo na efficiencies... Hata wakikusanya ngapi, bado matumizi yatatusumbua; vilevile if the government tightens everything sasa basi wanaweza kukausha kabisa vyanzo vya mapato na kutufanya tuanze upya

I hope kutakua na revision ya hizi hasty decisions
Jana nilicheka sana ! Dr Mpango amewasilisha bajeti kwa kauli za kinoko kama vile Kova alivyokuwa anapinga maandamano ya chadema ! Aibu sana .
 
Namuombea kwa Mungu apate busara ya kugundua kwamba yeye ni kiongozi, kiongozi anatakiwa kutumia lugha ya matumaini na kuwekeza kwenye faraja... Kiongozi na uongozim hutawaliwa na busara, hasa katika kipindi hiki kigumu na cha mpito

I hope watagundua kwamba watanzania wote, maskini na tajiri wanahitaji zaidi kushikwa mikono na sio kufuata maelekezo ya mikono
 
Ni vizuri sasa tuhamishe watu katika fikra za tumbua tumbua na kuwaelekeza kwenye uzalishaji.
Ingewezekana kila mzalishajji angeulizwa swali ni vipi ataongeza uzalishaji katika kazi zake. na huyo aulizwe ni nyenzo gania serikali imasaidie kufikia lengo lake. mfano kwa mkulima pembejeo na masoko serikali inaahidi nini.
kwa viwanda je, wataongeza vipi uzalishaji na ubora na je, watarajie nini kutoka serikalini. Mzalishaji na serikali wote wafunge mkataba na wawajibike.
Maneneno maneno kwa sasa hayasaidii kitu. Ni lazima barabara ya tuendako iwekwe wazi. Mambo ya kusifia kama kasuku hayasaidii. ushabiki utatumaiza kama taifa
 
kuna msemo. serikali inayotaka kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo na kuanza kujinyanyua.

A_-xPZiCYAEHcSM.jpg
 
Wakati wakijisifu kupunguza PAYE kwa watu wanaopata kima cha chini hadi asilimia 9%, Wameongeza PAYE kimyakimya kwa watu wanaopata mshahara kuanzia 750000. Hii ni disaster
 
Namuombea kwa Mungu apate busara ya kugundua kwamba yeye ni kiongozi, kiongozi anatakiwa kutumia lugha ya matumaini na kuwekeza kwenye faraja... Kiongozi na uongozim hutawaliwa na busara, hasa katika kipindi hiki kigumu na cha mpito

I hope watagundua kwamba watanzania wote, maskini na tajiri wanahitaji zaidi kushikwa mikono na sio kufuata maelekezo ya mikono
Mkuu viongozi wa ccm wakishapata madaraka Hawaamini kama kuna Mungu , walidanganya kuhusu mustakabali wa masikini lakini mwisho wa siku masikini wameitwa vilaza .
 
Hawa ccm huwa wanajuana kwa vilemba, sasa wanajifanya wameondoa karo za shule lakini wanazirudisha kwa mlango mwingine. Ukitaka kula lazima uliwe!
 
Mi nawaza tungekuwa na ratiba ya kujaribu huku na kule kama america. Leo CCM, nexttime UPINZANI, then tutajua mbichi na mbivu, lakini kwa mtindo huu tunaoenda nao hawa wanasiasa watatuumiza kila siku,Hawatuhedhimu wananchi.
 
Kazi tunayo... Shida ni serikali kutaka kuachieve 10 years success in one year.... They need to take it one step at a time

Tuna shida kubwa ya mifumo na efficiencies... Hata wakikusanya ngapi, bado matumizi yatatusumbua; vilevile if the government tightens everything sasa basi wanaweza kukausha kabisa vyanzo vya mapato na kutufanya tuanze upya

I hope kutakua na revision ya hizi hasty decisions
Hata weweeeee????
 
Tangu serikali hii ya tano iingie umekuwepo na msisitizo wa kukusanya kodi mkubwa
lakini hata hivyo imekuwepo na tabia za kupandisha kodi maeneo mbalimbali kiholela

na hata hii bajeti ya sasa inaonesha wazi serikali hii ya awamu ya tano wanachotaka
wao ni kodi tu hata kama kodi hiyo 'itaua' baadhi ya biashara za watu....

Ukweli ni kwamba wanachokifanya ni 'kumkamua maradufu ng'ombe maziwa' huku ng'ombe mwenyewe
hana afya ya kutosha na chakula chake kinazidi kupungua......

Kwa mwendo huu umasikini utaongezeka......biashara zitakufa na hayo mapato yatapungua

Ilikuwa busara zaidi ng'ombe akaongezewa kwanza chakula na matunzo na hata kupunguza
kumkamua kwanza ili anawiri ndo ukamuaji ufuatie......

Mentality kuwa watanzania wengi wana pesa na hawalipi kodi ni hatari sana...
Ukweli ni kuwa watanzania wengi ni masikni na wanaishi kwa kubangaiza zaidi
biashara rasmi ni chache sana na gharama za umeme,kodi na nyinginezo ni kuubwa sana...

Serikali ilipaswa kutumia nguvu kubwa kwenye 'new economy' na Utalii...ambako hakuna
mafanikio ya kuridhisha......kuliko kukazania kuongeza kodi kwa mwananchi....

kodi zinavyo zidi na umasikini unazidi

.
Kila bajeti ikipita malalamiko ni haya haya...
 
July 1 Mkuu, halafu pamoja na kuongeza kodi kubwa kwa Watanzania, Baba Jesca bado anaendelea kukwepa kulipa kodi pamoja na kuwa na mshahara mkubwa wa shilingi 400 milioni. Kweli ametoa sadaka mwili wake ili kuwatetea wanyonge.

Mie naisubiri hio Juni Moja,nione namba zinavyo someka
 
Afrika ni masikini kwa sababu hatutozi kodi. Ulaya kodi ndo maendeleo.

Ndo maana wanaona wanatupa hela za walipa kodo wao harafu sisi tunazifuja. Mwisho wanatudharau.

Kwetu huku, Rwanda inaongoza kwa kulipa kodi na hakuna anayesema na mwisho tunasema inapiga hatua.

Sijui sisi tutakuwa lini kiuchumi kwa kauli kama hizi.
Tangu serikali hii ya tano iingie umekuwepo na msisitizo wa kukusanya kodi mkubwa
lakini hata hivyo imekuwepo na tabia za kupandisha kodi maeneo mbalimbali kiholela

na hata hii bajeti ya sasa inaonesha wazi serikali hii ya awamu ya tano wanachotaka
wao ni kodi tu hata kama kodi hiyo 'itaua' baadhi ya biashara za watu....

Ukweli ni kwamba wanachokifanya ni 'kumkamua maradufu ng'ombe maziwa' huku ng'ombe mwenyewe
hana afya ya kutosha na chakula chake kinazidi kupungua......

Kwa mwendo huu umasikini utaongezeka......biashara zitakufa na hayo mapato yatapungua

Ilikuwa busara zaidi ng'ombe akaongezewa kwanza chakula na matunzo na hata kupunguza
kumkamua kwanza ili anawiri ndo ukamuaji ufuatie......

Mentality kuwa watanzania wengi wana pesa na hawalipi kodi ni hatari sana...
Ukweli ni kuwa watanzania wengi ni masikni na wanaishi kwa kubangaiza zaidi
biashara rasmi ni chache sana na gharama za umeme,kodi na nyinginezo ni kuubwa sana...

Serikali ilipaswa kutumia nguvu kubwa kwenye 'new economy' na Utalii...ambako hakuna
mafanikio ya kuridhisha......kuliko kukazania kuongeza kodi kwa mwananchi....

kodi zinavyo zidi na umasikini unazidi

.
 
Kariakoo na kwingineko biashara zimenuna, wanunuzi hakuna. Na hapohapo unataka alipe kodi. Ataitoa wapi?
Bandarini mizigo imeshuka, hata ile kidogo kidogo waliokuwa wanaipata hawaipati tena. Fedha itatoka wapi?
Mkuu, wafanyabiashara wengi wa Kariakoo walikuwa hawalipi kodi. Baadhi ya makontena ya wajanja yalikuwa yanaishia Kariakoo huku walioleta wakijifany wao ndiyo TRA. Hakuna kitu serikali ilikuwa inapata pale.
Hao wakianza kufanya biashara, haileti tofauti yoyote kwenye mapato ya serikali. Huyo TRA wao (HSC) ndiyo alikuwa akifaidi.
 
Mkuu, tuliahidi kutoa ajira ndo maana twakaba kodi kila kona na hata kuiobgeza ili kutoa ajira zaidi!
Mh hizi ni policies za wapi....tax ni costs inapunguza faida ya kampuni.....sasa costs ikiongezeka kwa watu ina maana tunakuwa na hela kidogo katika matumizi yetu
 
Back
Top Bottom