Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Nini mbadala wa ulilolipinga?, vinginevyo ni wehu au kichaa kilichokomaa, pumbavu kuhani mkuu wewe.
Ukiwa mjinga huwezi pona kwa kuogelea mitaro. Akili ndogo hupayuka kwa hamaki za hulka ya kutotaka kukosolewa bila kusikiliza kwa makini ama kusoma ujumbe uliotolewa! Ulichouliza kimejibiwa humo ila kwa kuwa una ushabiki wa kijinga utabaki kuwa zuzu siku zote!
 
Taifa likikopa, kwa mfano, kwa ajili ya kujenga uwanja wa ndege Musoma, je, deni hilo haliwahusu watanzania wengine? Na je, utakuwa ni ufisadi?
Kila senti inayotumiwa, iwe kwa mkopo au bila mkopo (bila kujali mahali ilipotumika) ni mali ya Watanzania wote na kwa manufaa ya wote. Dar si ya wenye kuishi Dar tu. Na magari yaliyoko Dar si ya wanaoishi Dar tu.
Tujitafakari!
Kutotambua vipaumbele vya msingi vyenye kuwagusa wote kimaendeleo ni ujinga pia!..kutojua ni vipi ustrategize malipo ya mkopo husika kuwagusa wanufaika kuliko kila mtu asiyenufaika nao ni upumbavu kiuchumi. Sio lazima kila shughuli ya kimaendeleo kwa jamii fulani ndani ya nchi ichangiwe na kila mtu asiyehusika nayo. Ndio maana sio wote wanachangia gharama za elimu katika mashule binafsi, bali wale tu wanaosoma humo!
 
Kutotambua vipaumbele vya msingi vyenye kuwagusa wote kimaendeleo ni ujinga pia!..kutojua ni vipi ustrategize malipo ya mkopo husika kuwagusa wanufaika kuliko kila mtu asiyenufaika nao ni upumbavu kiuchumi. sio lazima kila shughuli ya kimaendeleo kwa jamii fulani ndani ya nchi ichangiwe na kila mtu asiyehusika nayo. Ndio maana sio wote wanachangia gharama za elimu katika mashule binafsi, bali wale tu wanaosoma humo!
Sijaona majibu kwa hoja zangu kutokana na hiki ulichoandika. Hebu nisadie; kwa mfano nilioutoa wa mikakati ya kupunguza upotevu wa muda (na hivyo kuathiri uchumi) kutokana na msongamano wa magari na kukopa kwa ajili hiyo, je, ni upumbavu wa kiuchumi? Na je, wanufaikaji wa mpango huo ni wana Dar es Salaam pekee na kwa hiyo kutumia fedha za wananchi wasiokuwa wana Dar es Salaam kulipa mkopo huo ni ujinga?
 
Mimi ndio kabisaa sijaona akili yoyote ndani ya hoja zako. Mfano wako ni mmoja tu ndani ya vigezo vingi vya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za kiuchumi nchini na kwa manufa ya walipakodi sio sifa zisizo na maana kwa wasiojali jasho la mlipakodi na wasiolipa kodi huku wakitunzwa kwa kodi za watanzania. Uchumi hauathirwi na muda tu bali pia na mikakati mibovu isiyoleta tija kiuchumi kwa jamii na yenye kunyanyasa baadhi ya wengi walipakodi huku ikinufaisha wachache walio na uwezo wa kutumia na kyafikia mafao ya uwekezaji husika.Huo ndio upumbavu wa kiuchumi. Pesa husika zingetumika kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme leo nchi ingeweza kujikuta katika maendeleo makubwa maeneo mengi ambayo automatikali yangepunguza msongamano wa magari Dar kwa watu waliofuata maendeleo ya Dar kwa kuwa huko kwingineko ni bogas!
 
Duniani hakuna mahali ambapo hapana cosmopolitan cities. Kwa maana nyingine unaniambia kwamba kuwa na Dar es Salaam (mfano mdogo tu) ni mipango ya kipumbavu kiuchumi na kuwekea mji huo miundo mbinu mbalimbali ni ujinga kwa sababu ni wana Dar pekee ndio wanaonufaika na si wananchi wote! Ni kweli kwamba hujui Dar ni bandari kuu inayohudumia nchi zisizo na bandari katika kusini na mashariki mwa Afrika? Je, ni kweli kwamba hujui huduma za kiserikali kitaifa zilikuwa (na bado) zinapatikana Dar? Ujinga ni upi katika kuwekeza fedha ama za mikopo au za ndani katika kuboresha miundo mbinu mbali mbali huko?
Aidha kumbuka kwamba maendeleo ni safari ndefu na kwa hatua. Nchi zilizoendelea kwa karne nyingi, bado ziko kwenye kutengeneza maendeleo kwani maendeleo ni suala mtambuka na endelevu. Tuelewe kwamba haiwezekani nchi kupata maendeleo kufumba na kufumbua!

Ni ujinga kwaza kuwa bandari ni flyover!!.... Yapo mambo mengi muhimu zaidi ya mipango inayofanywa sasa Dar ambayo yangefanyika Dar yangekuwa tija kwa walipakdi hata nje ya dar na bado kuifanya dar kuwa Bandari salama africa!! Suala la Huduma za kiserikali kuwa na kupatikana Dar ni suala la mipangilio tu na ingewezekana vingevyo pia kwa kujali haki pana za raia kuliko ufinyu wa ubinafsi wa hulka za kifisadi na kianasa! Ujinga uliopo ni pale ambapo unakamua mbuzi kwa kutumia mashine ya kukamulia ngamia ukidhani hiyo mashine itakupa maziwa mengi ya ngamia toka kwa mbuzi dume!
 
Kwa kadiri ya mawazo yangu....
Ni ujinga kuwaza kuwa kukopa na kuongeza kodi kwa watanzania ama katika huduma z a kijamii na kibiashara ndiyo njia pekee ya kuendesha shughuli za kimaendeleo nchini huku nchi ikiruhusu kupokea 4% ya mapato ya madini yake kwa wawekezaji wa nje. 50% peke yake ya makanikia tuliyokamata ilitosha kuinua uwekezaji wa ndani na nje ya nchi kusababisha ukuaji kiuchumi na kupunguza upungufu wa ajira kwa vijana kwa kuwawezesha katika kilimo na usindikaji wa mazao. Fedha zilizowekezwa katika miradi ya kifisadi kama kule Chato na Dar es salaam zingewekezwa pia kuinua kilimo na viwanda leo hii tungeshuhudia kuimarika kwa shilingi ya Tanzania hadi kuwa $1 = Sh 1800 badala ya ilivyo sasa kuwa ni sh 2250! Vipaumbele vibovu na ufisadi wa uwekezaji kwenye mirdi isyozalisha haraka kama hii ya flyovers, pangaboi na treni ya mwendokasi ndivyo visababishi vikubwa kwa vichaa kuona njia pekee ya kupata pesa ni kuongeza kodi na gharama za huduma za jamii nchini
Mjapani aliyeunda Land Cruiser ameleta balaa kwa watawala wetu.
 
Back
Top Bottom