Kuondoa ukiritimba kama uliopo Chadema sheria ya vyama vya siasa ibadilishwe hakuna kiongozi wa chama kuongoza zaidi ya miaka kumi

Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Kwa hiyo unataka waje viongozi kama kina MWITA WAITARA au kina GODWIN MOLLEL au kina Dr. SLAA au kina MDEE ili muwanunue kama mlivyoinunua CUF, NCCR na ule utopolo mwingine wa vile vyama vya kuunga juhudi.

Kwani nyinyi si mlitaka kumpa nchi atawale milele au sio nyinyi sasa kuna ajabu gani nasisi kumuachia chama milele. Mungu akasema nooo this is too much a kamkata moto fasta sasa anaugulia mbinguni kwa dhambi za kujifanya MALAIKA

Mbona hamlalamikii uongozi wa CHAUMA kwani mbowe mnataka nini hanunuliki jamani, kama mlishindwa kumnunua wakati wa MAGUFULI sasa hivi mtamuweza wapi jamani

Sikia ni kwambie kama ulikua hujui siri ya wanachama wa CDM kumng'ang'ania MBOWE ni kuwa hakuna kiongozi ambae angehimili vishindo vya JiWE ila chuma MBOWE kilikomaa mwanzo mwisho

Na tunamuachia chama kwa staili hiyohiyo ya mwanzo mwisho
 
Chadema ni janga la kitaifa,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma
 
Mbowe hanunuliki? Mbona mwaka 2015 alinunulika?

Kama Chauma wana ishu kama za Cdm huu ujumbe unawahusu.

Mbowe alihimili vishindo?
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Sawa mbona huoni UDP ya Cheyo, TLP ya Mrema, NNCCR-Mageuzi na Mbatia, CUF na Lipumba. CCM na Mangula , hawa hauwaoni au wewe ni kipofu? kwa nini chadema tuu kuwa mkweli
 
Umenikumbusha hata wao ujumbe unawahusu, ila Chadema ndio ujumbe wao mahususi.
 
Tuanze na Mangula kakaa CCM miaka mingapi tangu Mkapa akaja Rais Jakaya, Mwendazake hadi sasa? hapo unaonaje?
 
Nashauri pia Sheria iundwe itakayozuia Mwenyekiti kugombea peke yake bila wengine kuchukua form, pia iweke mazingira ya mtu yeyote kuwa Mwenyekiti wa chama sio lazima awe Rais.

Nadhani itakuwa tunaenda sawa tu.
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Kama vile Chadema inavyoruhusu wakina Kikwete, Mwinyi, Nauye, Makamba n.k. kurithishana madaraka.

Amandla...
 
Na chama cha siasa kisiruhusiwe kuwepo madatarakani kuongoza serikali kwa miaka kuminatano mfululizo,wanaweza kujenga himaya ya ukwapuaji na wizi na wezi walioobobea,tunaiona CCM ipo kwenye madaraka tokea uhuru,wameshusha nanga kuliibia Taifa ,kila anaeingia anakwapuwa anaenda zake chama kinaweka mweingine,ni bora sasa chama kisimamishwe kuendelea kuwepo madarakani kwa zaidi ya miaka 15,ni lazima chama hicho kikae benchoi kwa mwaka /miyaka miwili.
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.

Mmeshindwa kumnunua mnataka sheria.Sheria pia iseme ni marufuku kiongozi wa umma kutumia kodi za wananchi kuendeleza Kijiji,Wilaya au Mkoa aliozaliwa.
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Wakijani miaka sitini ruksa na mbeleko za dola juu.
 
Back
Top Bottom