msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Naomba kujua Jinsi ya Kuondoa E - Mail ya Mtu katka Samsung Account, Simu nilinunua kwa Mtu ambaye Sina namba zake, Nataka nisajili Account Yangu Kwenye Samsung kwa Ajili ya Security
Usiingie kwenye dhambi ya dhana (sin of presumption) wakati ameshakuambia ameuziwa.acha wizi
Electronic mail.Hakuna E - mail dunian kama sikosei
Electronic mail.
Halafu hakuna msamiati wa neno dunian, badala yake lipo duniani.
Logic yake ni tofauti na hivyo boss.Labda nahis kamaanisha ni email na sio E kubwa
Naomba kujua Jinsi ya Kuondoa EMail ya Mtu katka Samsung Account, Simu nilinunua kwa Mtu ambaye Sina namba zake, Nataka nisajili Account Yangu Kwenye Samsung kwa Ajili ya Security
habari Mkuu ni emailLabda nahis kamaanisha ni email na sio E kubwa
Kuondoa inanitaka niweke Password ya Yule Mtumiaji wa Awali na hata Kufanya Restore inataka Niweke Pasword ya MwanzoNenda setting Kisha account tafuta samsung itoe.
Simu sio ya Wizi ni ya Kwangu, Na mmi Nimeuziwa na Mtu Aliyeinunua kwa Mtu nayeacha wizi
Neno sahihi ni emailHakuna E - mail dunian kama sikosei
Aki restore bila ku remove akaunti ya emali,akija kuwasha itamuomba emali na nywira.Pole mkuu jaribu kuirestore au reboot
Hio ni frp email ya Google na sio ya samsung.Kuondoa inanitaka niweke Password ya Yule Mtumiaji wa Awali na hata Kufanya Restore inataka Niweke Pasword ya Mwanzo
Issue ya Samsung account ni kwamba haitoki bila password ya muhusika ya email (sio password ya simu)Nenda setting Kisha account tafuta samsung itoe.