Kuombwa mchango wa harusi na mpenzi mliyeachana

Kuombwa mchango wa harusi na mpenzi mliyeachana

Hakuna manual ya hii mambo, so ni utashi wako tu kama ni sawa au si sawa. Anaweza kuwa genuine, au anakufikishia ujumbe flani kiaina; either way, mchangie tu.
 
So mlishaachana?kwani mlikuwa namkataba?ulimfirigisa sasa kapata wakumuweka ndani u have to be thankfully mengine tupa kule.acha uuza samaki.wanaume bana
 
Kwa upande wangu na mawazo yangu hilo litategemeana na mwombwaji na mwombaji mchango koz tuzingatie waliachana katika hali gani hivi sasa wapo katika hali gani usije kuta toka wa achane hamna hata salamu post zao za Facebook niza kutupiana vijembe tu ila kama wako peace salamu etc sioni kwa kuna ubaya
 
changia tu mkuu,ila kwenye sherehe usiende ukienda kuona yanayoendelea mara mabusu,dnda n.K utatokwa na povu mzee hasa kama ulikua hujamgegeda
 
Usitoe mkuu .weka heshima .ngado kwa ngado
Jicho ni kinyongo na haisaidii ata kidogo! Unaweza ukasema hutoi eti kisa ni ex lakini mbeleni hujui utakutana na nani ktk situation gani ukajikuta unamwangukia miguuni ex wangu kuomba msaada maana hakuna namna
 
sawa sui bado ni ndugu katika jamii...au mlivoachana mkawa maadui...binadamu sote ni ndugu kuachana ni jambo la kawaida kama unajitambua..mtabaki kuwa na mawasiliano au urafiki au kushirikiana kijamii
 
Tena kama unauwezo gharamia harusi

Utani tu
 
Sioni tatizo.

Yaliyopita yamepita, yule anabaki kuwa rafiki yangu.

Kama nnacho ntachangia
 
Back
Top Bottom