ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,925
- 40,012
- Thread starter
- #121
Kwani ni vitu gani vinauzwa tena mkuu😅KWA HIYO UNANUNUA JUMLA AU REJAREJA ?
Kwani ni vitu gani vinauzwa tena mkuu😅KWA HIYO UNANUNUA JUMLA AU REJAREJA ?
PETE ZA UCHUMBA SUGU. KUNA DADA MMOJA ALIVAA PETE YA UCHUMBA KWA MUDA MREFU HADI AKAAMUA KUIVUA. SIJUI ALIJIVALISHA MWENYEWE YULE DADA.Kwani ni vitu gani vinauzwa tena mkuu😅
KIPOCHI MANYOYAKipi
HakunaaaaUwezi nyimwa kama uombi mm siomb
Mtoto cheupe ametapanya vyangu lakini Kadinda.Umewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa?
(wengine husema akakaza ,akadinda)
Kuomba aibu no uno
Kunyimwa aibu no two
kutangazwa aibu no 3
Kuomba halafu ukanyimwa ni aibu 🤣🤣
Ni kama umejidhalilisha halafu bado husaidiki
Yaani umejianika, umeweka wazi hitaji lako, lakini mwisho wa siku hupewi ng'oo 🤪
Wewe umewahi kuomba nini ukanyimwa? Na ulijisikiaje?
Mara nyingi muombaji akinyimwa hujuta na kutamani asingethubutu kuomba kabisa lakini ni too late 😁
Lakini pia kuna msemo unasema, Ukinyimwa, unajifunza kutafuta vya kwako ( Wahenga🤔)
Lakini sasa najiuliza...
Hivi kweli kila kitu kinaweza kupatikana bila kuomba? 🤪
Au kuna mambo ambayo bila kuomba huwezi kuyapata kamwe? 🤔
Weekend hiyoooo
NB : Kulombana sio anasa
ShesRise_1 🖐
Siombi wala sinunui , nikiwa na mamsi tunapeana tu automatic bila kuombana inakuja tu naturalKIPOCHI MANYOYA
Mtu huomba kitu ambacho ana uhitaji nacho sana na hana kwa wakati huo so hulazimika kuombaHivi huko East Africa mnaombana nini?
Polee jaribu mweusi uone 😎Mtoto cheupe ametapanya vyangu lakini Kadinda.
Weekend imenianzia vibaya sana wakuu.
lucky youSiombi wala sinunui , nikiwa na mamsi tunapeana tu automatic bila kuombana inakuja tu natural
Nani anakunyima dearMimi huwa naomba. Naomba kila kitu! Si tuliambiwa ombeni mtapewa! Na huwa nanyimwa!
Imani yako itakuponya
Ndiposa BWANA WA MAJESHI anapojitokeza. Mungu wetu hapendi kushea utukufu. So he will wait you fail everywhere!
Milele amina/AmenBWANA YESU ASIFIWE SANA!
Sura yangu ndogo kwa Aibu kama punje ya mtama.Polee jaribu mweusi uone 😎
Ametapanya🤣🤣
Hii sasa kaliPETE ZA UCHUMBA SUGU. KUNA DADA MMOJA ALIVAA PETE YA UCHUMBA KWA MUDA MREFU HADI AKAAMUA KUIVUA. SIJUI ALIJIVALISHA MWENYEWE YULE DADA.
Limekushuka et 🤣🤣Sura yangu ndogo kwa Aibu kama punje ya mtama.
Hili neno mamsi nimekumbuka kina big na mambo ya bukavuSiombi wala sinunui , nikiwa na mamsi tunapeana tu automatic bila kuombana inakuja tu natural
Ndio kina nan tena huko daslamu ? Hilo neno linatumika mikoa ya kaskazini na Nairobi Kenya kumaanisha msichanaHili neno mamsi nimekumbuka kina big na mambo ya bukavu
kuna mambo yanakuwa nje ya uwezo wa binti,Hii sasa kali
hivi peta ya uchumba hua inamaana gani sasa coz unaivaa unajichoresha still unaacwa
Kuna content create wa Instagram ni mtu wa chuga hua anapenda kutumia hilo neno mamsi akimaanisha mwanamkeNdio kina nan tena huko daslamu ? Hilo neno linatumika mikoa ya kaskazini na Nairobi Kenya kumaanisha msichana
Acha kabisa mkuu, ndiomana stroke inatupata sisi tu.Limekushuka et 🤣🤣
Ila wanaume unahudumia na inanyimwa na hisi maumivu yake ni makali