zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,352
- 26,943
mkuu mambo mengine tuna acha yapite tuPoleee mkuu huyo alikua snitch kitambo watu kama hao uko mbele anakula ya kicwa
jamaa sasa hivi yuko vizuri sana kwa maana ya kiuchumi simgusi hata kidogo
mkuu mambo mengine tuna acha yapite tuPoleee mkuu huyo alikua snitch kitambo watu kama hao uko mbele anakula ya kicwa
Huo nao utaisha kwa neema ya Mungu.iliisha powa
sema jamaa ndo alikuwa mtu wa karibu kumaliza hiki kipengere ila alichomoa kabisa
ila muumba ni mwema liliisha kipengere ni huu msala nilio nao maana ni wa moto sana
Polee mkuu ukisikia watu wabaya ndio hiiiliisha powa
sema jamaa ndo alikuwa mtu wa karibu kumaliza hiki kipengere ila alichomoa kabisa
ila muumba ni mwema liliisha kipengere ni huu msala nilio nao maana ni wa moto sana
Aiseee pole sanamkuu mambo mengine tuna acha yapite tu
jamaa sasa hivi yuko vizuri sana kwa maana ya kiuchumi simgusi hata kidogo
hata mimi naamini utaisha ngoja tuendelee kuombaHuo nao utaisha kwa neema ya Mungu.
Kama mtu wa karibu amekuweka kwenye msala mkubwa si mwema kwako kamwe.
Nilitarajia mbonaNimekunyima!
Haya maisha ni muhimu sana kuwa na options nyingi kwenye kila. Ukiwa na option moja tu mambo yako mengi yatakwama. Hata huyo ambae anajua unategemea kwake na hauna option nyingine lazima atataka kuku-controlKipendacho rohooo mkuu
Kwanini ukaomba sasa🤣Nilitarajia mbona
Very true 📌Haya maisha ni muhimu sana kuwa na options nyingi kwenye kila. Ukiwa na option moja tu mambo yako mengi yatakwama. Hata huyo ambae anajua unategemea kwake na hauna option nyingine lazima atataka kuku-control
Ingia kwenye network upewe kabla hujaomba.Umewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa?
(wengine husema akakaza ,akadinda)
Kuomba aibu no uno
Kunyimwa aibu no two
kutangazwa aibu no 3
Kuomba halafu ukanyimwa ni aibu 🤣🤣
Ni kama umejidhalilisha halafu bado husaidiki
Yaani umejianika, umeweka wazi hitaji lako, lakini mwisho wa siku hupewi ng'oo 🤪
Wewe umewahi kuomba nini ukanyimwa? Na ulijisikiaje?
Mara nyingi muombaji akinyimwa hujuta na kutamani asingethubutu kuomba kabisa lakini ni too late 😁
Lakini pia kuna msemo unasema, Ukinyimwa, unajifunza kutafuta vya kwako ( Wahenga🤔)
Lakini sasa najiuliza...
Hivi kweli kila kitu kinaweza kupatikana bila kuomba? 🤪
Au kuna mambo ambayo bila kuomba huwezi kuyapata kamwe? 🤔
Weekend hiyoooo
NB : Kulombana sio anasa
ShesRise_1 🖐
Eeh unasema ?Ingia kwenye network upewe kabla hujaomba.
Liko wapi sasa acha kuandikia mate basi🤗Yani kuna shefa lina fedha kama za mafuta, lina machale kaa Saddam Hussein hilo, kabla wewe hujajua unahitaji nini lenyewe lishakujua na kukupatia 😂😂
Labda ni kwa sababu ya hizi kili lager. Kuanzia chupa ya 5 huwa akili inachachukaVery true 📌
Leo unaongea madini tupu
Ongeza ya 6 mkuu weka na lipa no hapa😁Labda ni kwa sababu ya hizi kili lager. Kuanzia chupa ya 5 huwa akili inachachuka
Una passport?Eeh unasema ?
Hebu hiyo network basi🤪
Liko wapi sasa acha kuandikia mate basi🤗
Wewe kwa nini umekataa wakati umeombwaKwanini ukaomba sasa🤣
Ipoooooo 🔥Una passport?
Yooo unaniuliza tena 🤣Wewe kwa nini umekataa wakati umeombwa
Ndio changamoto za kuomba hivyo!Yooo unaniuliza tena 🤣
Nimekunyima nini we mtoto wa kike? Nimekupa, moyo wangu mpaka bandamamakaveli10 kaninyima.
Naipenda yake 😎Omba kwa mwingine. Akikunyima omba kwa mwingine tena. Ukiwaomba 50 lazima kuna angalao mmoja atakupa. Kwanini ugande hapo hapo