Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,102
- 123,343
Kwa sababu naitaka, na nna uwezo wa kuperform vzr uwanja ukaitika vzrWatoto wa siku hizi kwa kujitoa mhanga🤣🤣🙌 noma
Kwa sababu naitaka, na nna uwezo wa kuperform vzr uwanja ukaitika vzrWatoto wa siku hizi kwa kujitoa mhanga🤣🤣🙌 noma
wataalamu wa hizo kazi 😁Kwa lugha rahisi inatakiwa kutengeneza mazingira ya kutaka na si kuomba
sanaa👌, unapo omba wewe muombaji unajishusha mwombwaji lazima aringe kidogo
Komaa 💪kama moyo wa muombaji ni mwepesi kama wetu najua ishakataliwa hio.
Kijana hala hala halaKwa sababu naitaka, na nna uwezo wa kuperform vzr uwanja ukaitika vzr
Watu wanakaza unaulizwa wakati unasimamia ukucha nilikuwepo?Duuu! Shida ya uzazi si ya kumkatalia mtu aisee.
nilimnyima 500k ndo ukawa mwanzo wa kuanza kunipigisha shoti kwa wakubwaWewe ulikua rafiki yake ila yeye sio rafiki yako
Hakutoboa ki vp ulimnyima?
Alikuchoma baada ya kumnyima hiyo 500k sijaelewa hapa
Polee aisee utapita
Hakuna dili lingine tupate hela?
Mi nina shida na pesa😎
Omba kwa mwingine. Akikunyima omba kwa mwingine tena. Ukiwaomba 50 lazima kuna angalao mmoja atakupa. Kwanini ugande hapo hapoImagine unamuomba uichape Afu anakuambia Mpaka umpe Pesa wakati yeye amepewa bure 😎
Au anakuzungusha, anakunyima, mpaka unawaza Au hana 🙆
Kamwe usiidharau miguu ya kuku maana ndo imebeba mboga 😂Ukiona hupewi ujue hamna mkuu
Paka kalala jikoni
jamaa alichomoa aseeh, ila tunaendelea kupambanaDuuu! Shida ya uzazi si ya kumkatalia mtu aisee.
Binadamu ni viumbe wanao ushi kijumuiya (Socialism)Zaidi ya wazazi wako waliokuleta duniani bila ridhaa yako, hakuna mtu mwingine unaemdai favor yoyote hapa duniani. Kwahiyo kila unachoomba sio lazima upewe bila kujali huyo uliemuomba anacho au hana.
📌📌📌 Exactly 💯Zaidi ya wazazi wako waliokuleta duniani bila ridhaa yako, hakuna mtu mwingine unaemdai favor yoyote hapa duniani. Kwahiyo kila unachoomba sio lazima upewe bila kujali huyo uliemuomba anacho au hana.
Basi naomba!wataalamu wa hizo kazi 😁
sanaa👌
Komaa 💪
Omba lakini usiwe entitled kwamba lazima upeweBinadamu ni viumbe wanao ushi kijumuiya (Socialism)
Hutuwezi kujitosheleza mahitaji lazima kuna mengine tupate kwa wenzetu, ndio inaangukia kuomba.
Poleee mkuu huyo alikua snitch kitambo watu kama hao uko mbele anakula ya kicwanilimnyima 500k ndo ukawa mwanzo wa kuanza kunipigisha shoti kwa wakubwa
mwanangu hapa nasema nikifanikiwa maliza huu msala aseeh siwezi rudia kupiga dili tena
Naamini hajawahi kukutana na hizo issue za uzazi!jamaa alichomoa aseeh, ila tunaendelea kupambana
Kipendacho rohooo mkuuOmba kwa mwingine. Akikunyima omba kwa mwingine tena. Ukiwaomba 50 lazima kuna angalao mmoja atakupa. Kwanini ugande hapo hapo
Haya sasa mashairi mkuuKamwe usiidharau miguu ya kuku maana ndo imebeba mboga 😂
iliisha powaNaamini hajawahi kukutana na hizo issue za uzazi!
Pole lakini naamini ilipita salama
Hapo sawaOmba lakini usiwe entitled kwamba lazima upewe
Nimekunyima!Basi naomba!