ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,882
- 39,963
- Thread starter
- #21
Shenziii ishia hapa itifaki imezingatiwa šKwa nini niombe? Niombe nini kwanza, labda niombe niishie hapa
Shenziii ishia hapa itifaki imezingatiwa šKwa nini niombe? Niombe nini kwanza, labda niombe niishie hapa
Anazo na ananijua vizuri shindiiš¤£Mashirima ana taarifa?
Kumbe hua mnabembeleza watu waje kutumia pesa zenu hii mpyašTena unambembeleza sana, akale pesa ! š
Kulombana hovyo hovyo ni kuuchimbua UKIMWI , sipendi kuomba , najiepusha na kuomba , kwa sababu sitaki shobo
Kumbe hua mnabembeleza watu waje kutumia pesa zenu hii mpyaš
Hii chai ya moto naungua ulimiš¤£Mm ntakupa kama mahari š
Bwashee ukivunga bila kuomba unajiepusha na mengi , sio lazima uwe na kila kitu mengine unapotezea tu kuepusha shoboMoto/waya umetulia, watu wanauchokoza! š
Aisee watu wa mjini nyie šUnapotongozwa maana yake unakaribishwa mezani. š
Bwashee ukivunga bila kuomba unajiepusha na mengi , sio lazima uwe na kila kitu mengine unapotezea tu kuepusha shobo
Wapi tena leo nimerudi home na afisa usafirishaji šWakati unaoandika nilikuona, nilikuwa nimesimama Kwenye daladala then nkakuona kwa nje unatyp Ukiwa kwa gari lako š
Unafundishwa uchoyo na huyo mchagaš¤£š¤£Huu ushauri nauchukua mkuu. Kama washikaji lazima tuwe tunawekana sawa namna hii.
Faida za kutokuomba omba .Huu ushauri nauchukua mkuu. Kama washikaji lazima tuwe tunawekana sawa namna hii.
Acha visirani.Anazo na ananijua vizuri shindiiš¤£
Mimi sio mchoyo kabisa huwa natoa ila napenda tu kujiepusha na kuombaUnafundishwa uchoyo na huyo mchagaš¤£š¤£
š hapana, ukimuuomba sana anakushikia chini shindiišAcha visirani.
Aombaye hupewa.š hapana, ukimuuomba sana anakushikia chini shindiiš
anae jitahidi ana nafasi kubwa ya kupata kuliko anae omba tuAombaye hupewa.
Ndio ujitahidi kuomba shindii. Bembeleza.anae jitahidi ana nafasi kubwa ya kupata kuliko anae omba tu
Hiyo ya mwisho gongelea na nyundoFaida za kutokuomba omba .
Unajenga heshima yako .
Unaongeza kujiamini .
Unakuwa na uhuru zaidi .
Unajenga tabia ya kufanya kazi kwa bidii.
Mahusiano yanakuwa bora .
Unaepuka aibu na kukataliwa .
Babu yuko wapiNdio ujitahidi kuomba shindii. Bembeleza.