min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,585
- 164,824
Ego ipo juu sana shindii 😀Ndio ujitahidi kuomba shindii. Bembeleza.
Ego ipo juu sana shindii 😀Ndio ujitahidi kuomba shindii. Bembeleza.
Wallah 😎Sema Wallah ðŸ¤
ToobaaWallah 😎
Ugumu uulete wwHii chai ya moto naungua ulimi🤣
Wewe bado mpya nitakuharibu🤣Ugumu uulete ww
Chochote ambacho kipo within your jurisdiction 😂, usininyime pleaseHilooooo unaomba nini mkuu
Nipo tayari kuharibika, tena unichakaze nichakae 😎Wewe bado mpya nitakuharibu🤣
Inamaana ukiomba inabidi ujiandae kisaikolojia?Kuomba na kukataliwa kunaendana na kuomba kusiko sahihi.
Si kila ombi linakubaliwa.
Kuomba unajua ila pakuomba hunaIla hizi nyuzi hizi! Wengine hatuna pakuomba mjue!
Pole hakuna kitu peupee ila maneno utapata hapaChochote ambacho kipo within your jurisdiction 😂, usininyime please
Watoto wa siku hizi kwa kujitoa mhanga🤣🤣🙌 nomaNipo tayari kuharibika, tena unichakaze nichakae 😎
Ndo mnanyimana kwa style hio siku hizi eehPole hakuna kitu peupee ila maneno utapata hapa
Ukiona hupewi ujue hamna mkuuNdo mnanyimana kwa style hio siku hizi eeh
Sasa kwanini ume edit maneno yako kwangu🤣🤣Acha tu aisee!
Kwa lugha rahisi inatakiwa kutengeneza mazingira ya kutaka na si kuomba, unapo omba wewe muombaji unajishusha mwombwaji lazima aringe kidogo,kama moyo wa muombaji ni mwepesi kama wetu najua ishakataliwa hio.Inamaana ukiomba inabidi ujiandae kisaikolojia?
Kuna mawili et
Kuomba unajua ila pakuomba huna
Kasheshe 🤣🤣
🤣Sasa kwanini ume edit maneno yako kwangu🤣🤣
Duuu! Shida ya uzazi si ya kumkatalia mtu aisee.niliomba 100k mshakaji najua kabisa ana m2 ila akaninyima
shida ilikuwa n kununua vifaa vya uzazi vya mama mtoto, jamaa akanikazia kwa kisingizio cha alikaa benchi sana ( mwaka 1 bila kazi) hivyo anajiimalisha kiuchumi
akaja pata shida ya 500k na anajua kabisa wiki nyuma nilipata hela (alishiriki kufanikisha dili langu akala mgao) hakutoboa hata mia kwenye shida yake
urafiki ukaanza kuchechemea kama sio kufa alipo kuja kunichoma kwenye izo dili nilizo kuwa nafanya nae
hadi leo mwaka wa 3 nahangaika na iyo kesi
Wewe ulikua rafiki yake ila yeye sio rafiki yakoniliomba 100k mshakaji najua kabisa ana m2 ila akaninyima
shida ilikuwa n kununua vifaa vya uzazi vya mama mtoto, jamaa akanikazia kwa kisingizio cha alikaa benchi sana ( mwaka 1 bila kazi) hivyo anajiimalisha kiuchumi
Hakutoboa ki vp ulimnyima?akaja pata shida ya 500k na anajua kabisa wiki nyuma nilipata hela (alishiriki kufanikisha dili langu akala mgao) hakutoboa hata mia kwenye shida yake
Alikuchoma baada ya kumnyima hiyo 500k sijaelewa hapaurafiki ukaanza kuchechemea kama sio kufa alipo kuja kunichoma kwenye izo dili nilizo kuwa nafanya nae
Polee aisee utapitahadi leo mwaka wa 3 nahangaika na iyo kesi
Rekebisha kwanza ba mtu🤣🤣🤣
Ngoja ni lale naona mawenge sasa