Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,215
- 27,043
Hahahahahahahahaha gademuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wenzio hawaombi, wanadai kabisa. Utaona msg, 'baby sasa ile hela vipi nachelewa saluni mwenzio' kama vile aliiweka.
Yaani utadhani alikupa umshikie dash watu wana njaa Kali balaaa .
Unatongoza dakika ya kwanza ya tatu ashakulipua na mzinga Wa nuclear khaaaa .[emoji14]