mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa,Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face.sijui na kwa wenzangu ni hivyo?