mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 350
- 163
- Thread starter
- #41
Aya, The NameEndelea hivyo hivyo
Aya, The NameEndelea hivyo hivyo
Umeshasema huoni sababu ya kuomba.... Tulia tu mamaSionagi sababu ya kuomba,ilihali Kama MTU anakupenda atakuhudumia tu.,Bahati mbaya nipo In relationship,
Ulipata raha.ila mm nikitoka nae out,majukumu ni yake ,na nikitoka mwenyewe nikimuaga ananiptia mshiko bila kumuombaKuna kipindi nilikuwa field mahali na mdada mmoja wa ujeruman arusha. Siku moja akaniomba nimpeleke masai camp tukapanda kifodi/haice nauli njiani akalipa yake tu. Baadae hotelini mchana akalipa bill yake tu..nilimpenda saana huyo mdada
HahaaaaWenzio hawaombi, wanadai kabisa. Utaona msg, 'baby sasa ile hela vipi nachelewa saluni mwenzio' kama vile aliiweka.


AsanteHongera sana mpo wachache mnahesabika
Wewe ubarikiwe sanaNampenda binti anayekuwa muwazi kwangu kwa kunieleza changamoto zake zikiwemo za kiuchumi. Hii inanipa Imani & nafasi ya kuprovide, ndicho tulichoumbiwa wanaume na Mungu.
"Searching, getting, then provide ... It might be your family, parents, spouse etc...!"
Kwa sisi wenye salary kila mwezi tunajua kabisa kuna kipindi ACCOUNT haisomi mpaka unaamua kucheki na washkaji. Sasa, kwa binti hata naye akiwa na kazi kuna kipindi atayumba tu.
Swali: Kama hujawahi kuomba kwake, unaomba wapi?!!! Usiniambie kuwa hujawahi kuwa na changamoto za kiuchumi.
Anyways, tunatofautiana mtazamo.
Hahaaa.wewe kibokoInaelekea wote wamesomea chuo kimoja maana maneno hayatofautiani hata chembe. Hiyo stori ya mzigo kuna mmoja alishataka kunipata, nikamuuliza mzigo gani akadai vitenge vinakuja na bus toka congo. Nikamwambia isiwe shida twende tukachukue, tuliganda Ubungo masaa mawili hakuna cha mzigo wala basi la kutoka congo.



AsanteHongera naheshimu sana mwanamke/msichana wa hivi hiyo ni tabia nzuri usiichokonoe utapata matango pori,msichana wa hivi atakula hela yangu
HEBU NITAFTE KAMA UKO TAYARI NIKUFUNDISHE JINSI YA KUTUOMBA HELA WANAUME?



hayaMdada mwenzako unamwomba pesa anapiga kazi uko..wewe unamwomba tuUlipata raha.ila mm nikitoka nae out,majukumu ni yake ,na nikitoka mwenyewe nikimuaga ananiptia mshiko bila kumuomba
Wewe mtoto wewe? hayab bhana mimi sitii neno.Kumbeeeeee![]()
Mrs finance
Nambie youngkatoMrs finance
Aisee hata mimi kumuomba boyfriend hela ni mtihani,bado sijapata kazi lakini hiyo hainipi sababu ya kuwa ombaomba.Kama sina vocha nitasubiri mpka unipigie,Nadhani ifike sehemu sie wanawake tuwe na aibu tusipende kutangaza shida sana.
Itakuwa unaomba indirectly!Nyie bila KUOMBA haiwezekaniPole
Sionagi sababu ya kuomba,ilihali Kama MTU anakupenda atakuhudumia tu.,Bahati mbaya nipo In relationship,
Direct kivip?Itakuwa unaomba indirectly!Nyie bila KUOMBA haiwezekani
Hii watakuelewa wale "ombaomba"Day one tu ushakuwa bebi, hata b4 u bkum one, ataanza unajua kifursuhi changu kinakaribia kuisha, naomba niunge beeebi, mara hivi, ukikubali tu.. kwishney. Sasa bebi kuna mzigo nimeagiza afu nanii alisema atantumia hela kesho, so naomba afu hamsini nilipie then ntakurefund kesho..nyoooo! Nshafanya tafiti nyingi sana kuhusu hawa nikikuonyesha matokeo utakimbiaga tu weye...
Hawana haya, afu wakavu, mbaya Zaidi ni wepesi wa kudhani kila mtu ni rahisi tu, akikubeep ukaitika kwa moja, yanaanza kumiminika kibao. Afu wote staili za kufanana, unajua bebi kwa kweli mimi huwa cjisikii kumwomba mwenzangu, yaani akiona sawa atanipatia tu..swali: kwani lazima mimi nikupatie?? wewe huwezi nipatia? this way... ikfika hapo hata huitaji kusema sana, unabeba unavyotaka... no compromise. Afuwengine wasooomi wadhuri tu, but kipengele hiyo taaluma yao ya kufikiri huwa haiwork...duh!
napita lakini...