Kuomba hela mwanaume/mpenzi

Kuomba hela mwanaume/mpenzi

Aisee wewe ni wa kitofauti sana,wenzako wanaomba hadi hela ya kula kuonesha kwamba kwao ni dhiki kali
 
Nampenda binti anayekuwa muwazi kwangu kwa kunieleza changamoto zake zikiwemo za kiuchumi. Hii inanipa Imani & nafasi ya kuprovide, ndicho tulichoumbiwa wanaume na Mungu.

"Searching, getting, then provide ... It might be your family, parents, spouse etc...!"

Kwa sisi wenye salary kila mwezi tunajua kabisa kuna kipindi ACCOUNT haisomi mpaka unaamua kucheki na washkaji. Sasa, kwa binti hata naye akiwa na kazi kuna kipindi atayumba tu.

Swali: Kama hujawahi kuomba kwake, unaomba wapi?!!! Usiniambie kuwa hujawahi kuwa na changamoto za kiuchumi.

Anyways, tunatofautiana mtazamo.
 
Kuna kipindi nilikuwa field mahali na mdada mmoja wa ujeruman arusha. Siku moja akaniomba nimpeleke masai camp tukapanda kifodi/haice nauli njiani akalipa yake tu. Baadae hotelini mchana akalipa bill yake tu..nilimpenda saana huyo mdada
 
Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa,Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face.sijui na kwa wenzangu ni hivyo?
Wenzio hawaombi, wanadai kabisa. Utaona msg, 'baby sasa ile hela vipi nachelewa saluni mwenzio' kama vile aliiweka.
 
Day one tu ushakuwa bebi, hata b4 u bkum one, ataanza unajua kifursuhi changu kinakaribia kuisha, naomba niunge beeebi, mara hivi, ukikubali tu.. kwishney. Sasa bebi kuna mzigo nimeagiza afu nanii alisema atantumia hela kesho, so naomba afu hamsini nilipie then ntakurefund kesho..nyoooo! Nshafanya tafiti nyingi sana kuhusu hawa nikikuonyesha matokeo utakimbiaga tu weye...
Hawana haya, afu wakavu, mbaya Zaidi ni wepesi wa kudhani kila mtu ni rahisi tu, akikubeep ukaitika kwa moja, yanaanza kumiminika kibao. Afu wote staili za kufanana, unajua bebi kwa kweli mimi huwa cjisikii kumwomba mwenzangu, yaani akiona sawa atanipatia tu..swali: kwani lazima mimi nikupatie?? wewe huwezi nipatia? this way... ikfika hapo hata huitaji kusema sana, unabeba unavyotaka... no compromise. Afuwengine wasooomi wadhuri tu, but kipengele hiyo taaluma yao ya kufikiri huwa haiwork...duh!
napita lakini...
Inaelekea wote wamesomea chuo kimoja maana maneno hayatofautiani hata chembe. Hiyo stori ya mzigo kuna mmoja alishataka kunipata, nikamuuliza mzigo gani akadai vitenge vinakuja na bus toka congo. Nikamwambia isiwe shida twende tukachukue, tuliganda Ubungo masaa mawili hakuna cha mzigo wala basi la kutoka congo.
 
Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa,Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face.sijui na kwa wenzangu ni hivyo?

Wanaomba mpaka wanakera
 
Hongera naheshimu sana mwanamke/msichana wa hivi hiyo ni tabia nzuri usiichokonoe utapata matango pori,msichana wa hivi atakula hela yangu
 
Nampenda binti anayekuwa muwazi kwangu kwa kunieleza changamoto zake zikiwemo za kiuchumi. Hii inanipa Imani & nafasi ya kuprovide, ndicho tulichoumbiwa wanaume na Mungu.

"Searching, getting, then provide ... It might be your family, parents, spouse etc...!"

Kwa sisi wenye salary kila mwezi tunajua kabisa kuna kipindi ACCOUNT haisomi mpaka unaamua kucheki na washkaji. Sasa, kwa binti hata naye akiwa na kazi kuna kipindi atayumba tu.

Swali: Kama hujawahi kuomba kwake, unaomba wapi?!!! Usiniambie kuwa hujawahi kuwa na changamoto za kiuchumi.

Anyways, tunatofautiana mtazamo.
Ni kweli kuna mtu ambae Hana changamoto.Lakini huwa ananipatia mwenyewe, Kama kweli anakupenda atajua wajibu wako
 
Back
Top Bottom