la fiducia
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 212
- 169
Mi ukiniomba Pesa uwe na sababu maalum!! Sio unaniomba Pesa kisa umesikia fulan akiomba Pesa anapewa! Wengine Pesa zetu tunazipata kwa ugumu!!
Madhara yapi. Funguka basi nijifunze labda niwe nafanya hivyo hata kwa kulazimisha
Hahaha unashangaa ghafla imekuwaje, kumbe mtu kawa "original"Wengine wasanii..Mnajifanya hampendi kuomba ili kumuingiza mwanaume box..Mapenzi yakinoga mnaanza vibomu deile..Mtu unabaki kujiuliza huyu ndo yule ama
Yeah..Hapo ndo unakuta jibaba umeshakolea tena..Inabidi ujikaze kiume tuHahaha unashangaa ghafla imekuwaje, kumbe mtu kawa "original"
Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa, Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face. Sijui na kwa wenzangu ni hivyo?