Kuolewa ni heshima?

ha ha ha... sina maana kua napenda watu waachike, ila thats the reality
watu wanaachana saana sasa hivyo narudi bora alie wahi olewa akaachika
kuliko yule ambae hajaolewa kabisa alafu ni mtu mzima...
I get your point. But hisia zangu ni kwamba aloolewa akaachika sio bora. Waloachika huwa wana visirani kwa waume wakijjua kuwa kila mwanaume ni mbaya kama yule alomuacha.
 
Kuolewa kuitwa heshima au kutokua heshima ni mtu binafsi mwenyewe anavyo fafanua...

Kitu cha msingi labda tuangalie kua jamii inamchukkulia vipi dada/mama ambae hajaolewa...

Yule ambae hajaolewa... na kawahi olewa huishi kwa amani zaidi katika maisha yake, sijui
ni kwanini ila wataona kua' kua divorced/widowed/telekezwa at least inam paint kua
anafaa na kawahi kua wife wa mtu...

Yule ambae hajaolewa kabisa ni shida saaana jamii kumchukulia positively hasa kama
umri umeenda saana, hata kama yeye personally hataki maisha ya ndoa (ambao ki ukweli
ni rare...) wataishia kumzushia alikua anachagua saana wachumba sasa kakosa wote,
au alikua mhuni saana, au kua sio wife material na maneno kibao... yeye anaweza asisikie
but ukweli ni kua majority inamchukulia hivyo...

Kwa kujibu kutumia jamii yetu ya Tanzania hii... kuolewa ni heshima mbele ya macho
ya jamii, na huheshimiwa kuliko yule ambae hajaolewa... tuache haya mambo ya mjini
na kuangalia jamii kama jamii yetu ya TZ... Hivyo bora hata uolewe uachike kuliko kutoolewa kabisa.
Number ya wadada wanokataa kua kuolewa sio heshima unakuta mara nyingi ni wale
walisha olewa alafu mwanaume akawa hafai... au bado she is young... au kweli
ni mkubwa lakini karidhika na maisha yake ingawa lazima kuna pressure from
family na jamii hapa na pale..
sina la kuongezea hapo!
 
Kuolewa naona ndo heshima wanawake ndo wanasilika ya kupondana na kudharauliana na mwanamke asipoolewa uwa anaonekana ni mtu mwenye mikosi na asiye na bahati.

Ni mitizamo tu wala haihusiani na ukweli.Ni sawasawa na wanavyosema mwanaume ambaye hajaoa ni mhuni!

HESHIMA INAYOPEWA NDOA NI SAWA KWA SABABU YA UMUHIMU WA KUANZISHA FAMILIA KAMA "SERIKALI NDOGO" INAYOZAA "SERIKALI KUBWA"!

Pia watu ambao hawamo kwenye ndoa huonekana kama wako huria katika kila kitu na kuonekana hana mfumo wa kutawala au kutii mamlaka.Huu nao ni mtizamo wa watu na inaweza isiwe sahihi vilevile.Utasikia mwanaume alieachana na mkewe akisimamangwa hata na wanaume wenzake...." kama kashindwa kuongoza kaserikali kadogo ataweza wapi kuongoza serikali kubwa?" ......na ndio utaona mwanaume ambaye hana mke anahaha kutafuta mke kabla ya kupokea madaraka makubwa au mara tu baada ya kupewa madaraka.
 
kamwe usiolewe kwaajili ya kuwafurahisha walimwengu na kutoa aibu kwa familia olewa ukijua nini maana ya ndoa.
 
Ni mitizamo tu wala haihusiani na ukweli.Ni sawasawa na wanavyosema mwanaume ambaye hajaoa ni mhuni!

HESHIMA INAYOPEWA NDOA NI SAWA KWA SABABU YA UMUHIMU WA KUANZISHA FAMILIA KAMA "SERIKALI NDOGO" INAYOZAA "SERIKALI KUBWA"!

Pia watu ambao hawamo kwenye ndoa huonekana kama wako huria katika kila kitu na kuonekana hana mfumo wa kutawala au kutii mamlaka.Huu nao ni mtizamo wa watu na inaweza isiwe sahihi vilevile.Utasikia mwanaume alieachana na mkewe akisimamangwa hata na wanaume wenzake...." kama kashindwa kuongoza kaserikali kadogo ataweza wapi kuongoza serikali kubwa?" ......na ndio utaona mwanaume ambaye hana mke anahaha kutafuta mke kabla ya kupokea madaraka makubwa au mara tu baada ya kupewa madaraka.

Nimependa the analogy ya ndoa na serkali... imetulia, the way umetoa maelezo
katika sehemu kubwa ya post ni kana kwamba ndio kuolewa ni heshima...

Ila the statement in blue imeniacha dilema kidogo... sijajua where you stand
kua kuolewa ni heshima au sio heshima (from you opinion....) acha hii ya mtazamo..
 
Asha yote nilotaka kusema umenisemea dia. Ni kweli jamii inawaelewa na ku sympathize na walioachika kuliko ambao hawajawahi kuolewa kabisa. Kwa hiyo na mimi narudia bora uolewe kutoa nuksi yakikushinda kwani umewekewa msumari; lakini na wewe umepitia stage zote including kuolewa. Utaogopaje kitu kwa kusikia kwa rafiki au dada?. Utajuaje kuwa ndoa yako itakuwa ndoano au itadumu 50 years.?Kwa nini unaogopa kuolewa??? Na mimi narudia kuwa wengi wanaobonda ndoa wakiwa honest ni wale zilizowashinda; huwezi kubonda ndoa wakati hujawahi kuoelwa inakuwa more of sizitaki mbichi hizi na ni ngumu kukuelewa kuwa hutaki au hamna aliyekuposa.

Kuolewa kuitwa heshima au kutokua heshima ni mtu binafsi mwenyewe anavyo fafanua...

Kitu cha msingi labda tuangalie kua jamii inamchukkulia vipi dada/mama ambae hajaolewa...

Yule ambae hajaolewa... na kawahi olewa huishi kwa amani zaidi katika maisha yake, sijui
ni kwanini ila wataona kua' kua divorced/widowed/telekezwa at least inam paint kua
anafaa na kawahi kua wife wa mtu...

Yule ambae hajaolewa kabisa ni shida saaana jamii kumchukulia positively hasa kama
umri umeenda saana, hata kama yeye personally hataki maisha ya ndoa (ambao ki ukweli
ni rare...) wataishia kumzushia alikua anachagua saana wachumba sasa kakosa wote,
au alikua mhuni saana, au kua sio wife material na maneno kibao... yeye anaweza asisikie
but ukweli ni kua majority inamchukulia hivyo...

Kwa kujibu kutumia jamii yetu ya Tanzania hii... kuolewa ni heshima mbele ya macho
ya jamii, na huheshimiwa kuliko yule ambae hajaolewa... tuache haya mambo ya mjini
na kuangalia jamii kama jamii yetu ya TZ... Hivyo bora hata uolewe uachike kuliko kutoolewa kabisa.
Number ya wadada wanokataa kua kuolewa sio heshima unakuta mara nyingi ni wale
walisha olewa alafu mwanaume akawa hafai... au bado she is young... au kweli
ni mkubwa lakini karidhika na maisha yake ingawa lazima kuna pressure from
family na jamii hapa na pale..
 
Asha yote nilotaka kusema umenisemea dia. Ni kweli jamii inawaelewa na ku sympathize na walioachika kuliko ambao hawajawahi kuolewa kabisa. Kwa hiyo na mimi narudia bora uolewe kutoa nuksi yakikushinda kwani umewekewa msumari; lakini na wewe umepitia stage zote including kuolewa. Utaogopaje kitu kwa kusikia kwa rafiki au dada?. Utajuaje kuwa ndoa yako itakuwa ndoano au itadumu 50 years.?Kwa nini unaogopa kuolewa??? Na mimi narudia kuwa wengi wanaobonda ndoa wakiwa honest ni wale zilizowashinda; huwezi kubonda ndoa wakati hujawahi kuoelwa inakuwa more of sizitaki mbichi hizi na ni ngumu kukuelewa kuwa hutaki au hamna aliyekuposa.

Na ilo swala la kusema kuolewa sio lazima toka kwa wadada (watanisamehe kwa kweli...)
wengi hawamaanishi kabisa ila wanasema kwa sababu kadhaa ambazo nimeoorodhesha post # 16
na kama ulivyosema.. ukiolewa inakua kama unatoa nuksi fulani... sawa na mwanaume ana
miaka 35 plus hajawahi oa kabisaa nae pia ni wazi kua ni player (labda awe ni msomi wale wa miaka kibao...)
 
Haya mawazo kuolewa kuwa ni heshima sijui yanatoka wapi,sikubaliani na mtazamo wa jamii kwani jamii ina mitazamo mingi ambayo sio sahihi,hakuna uhusiano wowote kati ya heshima na kuolewa,jamii nyingi zina mitazamo ya kimkumbo na isiyo na tija!
 
Nimependa the analogy ya ndoa na serkali... imetulia, the way umetoa maelezo
katika sehemu kubwa ya post ni kana kwamba ndio kuolewa ni heshima...

Ila the statement in blue imeniacha dilema kidogo... sijajua where you stand
kua kuolewa ni heshima au sio heshima
(from you opinion....) acha hii ya mtazamo..

Hhahahhahah unataka msimamo wangu siyo?

Binafsi nitasema hivi:
Ndoa ni jambo jema na kama ni jambo jema, basi mtu anayeingia kwenye ndoa lazima anapata heshima. Kwa msingi huo kuolewa ni heshima Ashadii!
 
That coming from a woman who is of Substance...
makes AshaDii mo' than happy... :dance: Thank you...
 
Kuhusu swala la kuachika wengi tunalichukulia vibaya kwa sababu ya dini zetu (including me dini yangu inapinga hilo swala) Lakini kuna dini talaka ni ruksa; kwa hiyo ndoa si jela yakikushinda unasepa. Afu nimekaa sana na wazaramo wao bwana dada anayeolewa more than once anaonekana ni very marketable; wenyewe utawasikia wanasema chuo cha pili, au tatu. Which ukiangalia sana ni kweli. Unakuta mama mtu mzima na watoto juu anaachika afu anoelwa tena wakati kuna wengine hata watoto hawana na wamekosa wa kuwaoa, si bahati ni nini???

ha ha ha... sina maana kua napenda watu waachike, ila thats the reality
watu wanaachana saana sasa hivyo narudi bora alie wahi olewa akaachika
kuliko yule ambae hajaolewa kabisa alafu ni mtu mzima...
 
Kuhusu swala la kuachika wengi tunalichukulia vibaya kwa sababu ya dini zetu (including me dini yangu inapinga hilo swala) Lakini kuna dini talaka ni ruksa; kwa hiyo ndoa si jela yakikushinda unasepa. Afu nimekaa sana na wazaramo wao bwana dada anayeolewa more than once anaonekana ni very marketable; wenyewe utawasikia wanasema chuo cha pili, au tatu. Which ukiangalia sana ni kweli. Unakuta mama mtu mzima na watoto juu anaachika afu anoelwa tena wakati kuna wengine hata watoto hawana na wamekosa wa kuwaoa, si bahati ni nini???

Hii post imenichekesha saana tena kwa mengi... umenikumbusha mbali kweli...
kuna mdada (tena sio mmama) ana vyuo vi tano - na NK haendi bila harusi! kazaa watoto
6 she is not more than 32 nakuambia... ndoa ya kwanza naona age kama 17
yaani kaaaazi kweli kweli...lol.. Nime observe hilo hata mimi, unakuta dada mrembo
yupo 32-35 anahangaika mchumba na hana hata mtoto (nina rafiki yangu dadake yupo ivo)
na huyo rafiki yangu kaolewa nae juzi tu hapa... dada bado - kwenye harusi dada
alikua anaonesha ana furaha ya kupitiliza, akaonekana kabisa she is overdoing it!

Kwa kweli mimi niko na wewe kuolewa na bahati bana... alafu raha watu tu hawajui..
maisha gani ya starehe na mazuri yakose stress??
 
Back
Top Bottom