We mwalimu safi sana hivi unafundisha masomo gani....
Wote tunapaswa kufikia stage uliyofikia.
Watu hawajifunzi kutoka kwa makosa ya wenzao.
Wengine wanaogopa kupitia kipindi kifupi cha maumivu kisha kupata thawabu ya muda mrefu.
Experience is the best teacher.
Hongera kwa wote waliokua na kujitambua na wameweza kupata furaha.
Pole kwa walioishia njiani, wakajiua, wakawa walevi, wakawa na maisha ya msongo wa mawazo, na wanaoendelea kuugulia maumivu makumi ya miaka wakisubiri miujiza.
cha kushangaza pasua kichwa kama nyinyi mnapata wanaume fulani wapole mnawaendesha na pasua kichwa kama sisi tunapata 'wife material' tunawavuruga!
ila kama hivi mnavyojiweka jf ndio mlivyo mtaani kazi ipo.
Wewe nawe...mara unataka hela,mara mvuto,kila kitu wewe tu you are so selfish...inabidi umtengeneze perfect man wako!

Khaaaah every human being is selfish, sasa nani anataka vibovu? Ndio i need it all na kwakuwa nimegundua mr perfect hayupo nimebaki na moja tu, mr money.
Ee RRONDO mie kabisaaa niwe pasua kichwa kweli!!! Muulize ex darling ambae sasa hivi ni mjomba wangu Eli79 atakuambia nilivyo mpole na wife material😉, kama namuona Heaven Sent anavyosonya kimoyomoyo.
Kwa demand na command zako you must be drop dead gorgeous.......perfect mentally and physically!
Ee RRONDO mie kabisaaa niwe pasua kichwa kweli!!! Muulize ex darling ambae sasa hivi ni mjomba wangu Eli79 atakuambia nilivyo mpole na wife material😉, kama namuona Heaven Sent anavyosonya kimoyomoyo.
mwalimu yuko smart sana na sio stubborn and arrogant like you......
cha kushangaza pasua kichwa kama nyinyi mnapata wanaume fulani wapole mnawaendesha na pasua kichwa kama sisi tunapata 'wife material' tunawavuruga!
ila kama hivi mnavyojiweka jf ndio mlivyo mtaani kazi ipo.
Kwa demand na command zako you must be drop dead gorgeous.......perfect mentally and physically!
Wewe nawe...mara unataka hela,mara mvuto,kila kitu wewe tu you are so selfish...inabidi umtengeneze perfect man wako!
Waoaji wapo sana sema hawana mvuto, wenye mvuto ndio hao pasua kichwa wanaogandwa, unamganda mtu kumbe sio mumeo ni mume wa mwenzio, wako alishajifia kwenye ajali ya mv bukuoba hukooo kabla hamjaonana.
Haha. Sidhani kama alimaanisha mvuto wa sura.
Watu wengine hawana mvuto tu. akiongea huvutiwi kuongea naye. Lifestyle anayoishi, mwanaume yuko ovyo a nasubiri aoe ili ale vizuri, aishi pasafi, apendeze. Not attractive at all.
Kwahiyo sisi maReject ndo tukubali kuonewa au tukubali lifestyle kandamizi?
Aisee hapana ... Wadada msidanganyike. Amua unavyotaka kuishi ishi. Kam hutaki maisha ya shida usijilazimishe kisa kina proNDO wanasema una kasoro nyingi
Handwriting yako inaonyesha upo arrogant, you care less about african men n tradition, too westernized...labda kama ni maisha mtandaoni!!Lol I'm not arrogant.... You can't tell my behavior from my writing
..what you depict online is contrary to your life offline...Ee RRONDO mie kabisaaa niwe pasua kichwa kweli!!! Muulize ex darling ambae sasa hivi ni mjomba wangu Eli79 atakuambia nilivyo mpole na wife material😉, kama namuona Heaven Sent anavyosonya kimoyomoyo.
..what you depict online is contrary to your life offline...