Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa kwa kulazimisha

Wengine uvumilivu ni zaidi ya negative zero, unaona kabisaaa huo wito haupo maana utapata murder case bureee, mambo ya sijui shetani alinipitia(why umerudi peke yako? Mngepotelea hukohuko wote) Sitaki kabisa kuyasikia.

Mimi ukishaona ulipitiwa na shetwani upitilize nae huko huko,zero torelance kwa ujinga....

Mmh aiseee nyie watu nyieeeeee!! nikimuongeza housegirl kwenye hii list ndo siwapatiiga picha kabisaaaa
 
housegirl ameninong'oneza yeye ni mpole na mkimya sana ila humu nyuma ya keyboard ndio ana ujasiri wa 'kutoa ya moyoni'
 
Last edited by a moderator:

My kaka mimi kabisaaaa hunipatii picha kweli? Umesahau ulivyoninanga mimi na Heaven Sent wangu? Unatuonea kwavile sisi wapole eti? Teh teh teh teeeeeh!! Mimi na brenda18 ni wapole sanaaaa sema tu hatutaki uduwanzi.
 
Yani hadi mimi mpole kaninanga eti
 
Last edited by a moderator:
housegirl ameninong'oneza yeye ni mpole na mkimya sana ila humu nyuma ya keyboard ndio ana ujasiri wa 'kutoa ya moyoni'

Lol nimesema ni mkimya sio mpole. THERE'S A DIFFERENCE. Niliowachenjia wanajua.
 
Last edited by a moderator:
Mmh aiseee nyie watu nyieeeeee!! nikimuongeza housegirl kwenye hii list ndo siwapatiiga picha kabisaaaa

Uvumilivu zero kweli.

You dadas, muwege mnatoka mnakutana na watu uone jinsi wanaume kibao watakavyokupenda. Yani mtu asikuzengue kabisaaa. Ukikaa kujifungia chumbani na kushinda kanisani unasali ukidhani mungu atakushushia, pole.
 
My kaka mimi kabisaaaa hunipatii picha kweli? Umesahau ulivyoninanga mimi na Heaven Sent wangu? Unatuonea kwavile sisi wapole eti? Teh teh teh teeeeeh!! Mimi na brenda18 ni wapole sanaaaa sema tu hatutaki uduwanzi.

Hahah wanatuonea kisa tu hatuna uvumilivu na mambo ya kijinga....
 
Last edited by a moderator:
Mmh aiseee nyie watu nyieeeeee!! nikimuongeza housegirl kwenye hii list ndo siwapatiiga picha kabisaaaa

Hahahaa kaka mito hebu muulize Heaven Sent wadada wa kinyaki wapoje,watulivu tuu hawana shida wala mnatuonea...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa kaka mito hebu muulize Heaven Sent wadada wa kinyaki wapoje,watulivu tuu hawana shida wala mnatuonea...
Hahaha wadada wa kinyaki tuna upole na utulivu uliotukuka. Hatunaga shida na mtu, yani kila kitu sisi "Ndaga fijo" tu na magoti juu. Waache tu kutuonea jamani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom