Kuolewa kuna raha zake!

karibuni kwenye harusi yangu Dec hii,kama bwanaharusi hajaghairi lakini!!!

Bora wewe huna uhakika maana sisi wanaume wakati mwingine ni wajinga sana!

Mbu wewe uzoefu ziro hata kuonja utamu wa ndoa hujawahi leo unatoa ushauri si unatuingiza chaka sasa

Reactions: Mbu
Hujasema uongo aisee. For sure tunakula raha...

Hata hivyo nina kanyumba kadogo ambako hukafaham...
IVO EHHH?

MHH unanifanya niangalie tena application kibao nilizozitia kapuni... kama utazama nyumba ndogo basi
nami nisuuze roho yangu!
uko tayari kuwa mgombea mwenza?

mi niko single 4 nw xo kujicommit kwa mtu naona kama mzigo fulani vile

Mi mke mwema namsubiri bwana atanishushia!Nami nionje tamu ya ndoa!

Asikwambie mtu ndoa tamu sana hasa kama wote na watoto ni wazima. Mnakuwa na matumaini kupita kiasi. Tafadhali wake kwa waume msiogope majukumu.

QUOTE=Eiyer;2318757]Mi mke mwema namsubiri bwana atanishushia!Nami nionje tamu ya ndoa![/QUOTE]

Mpaka leo unasubiri. Endelea kusubiri mpaka yule waliyemsema a beautiful one azaliwe. Ila a beautiful gal for you is just out ther go and find her

Mwanajamiione kama unataka kuingia chaka omba ushauri kwa Mbu. Ni full kupotezwa. Yaani utakuwa umeingizwa chaka la aina yake.

hahahahahaaahh Mr. Rocky kuna haja ya kumwingiza ndoani kwa nguvu huyu Mbu ili apate uzoefu eti eh?..................................

Reactions: Mbu
Asikwambie mtu ndoa tamu sana hasa kama wote na watoto ni wazima. Mnakuwa na matumaini kupita kiasi. Tafadhali wake kwa waume msiogope majukumu.

Mkuu waambie hawa akina Igwe, Eiyer, na wenzake kuwa mambo huko ni mazuri bana. Hasa mkikutana mnaoelewana na kusikilizana. Na ndoa ikijaliwa watoto. Yaani mtaona raha yake bana.

QUOTE=MwanajamiiOne;2318778]hahahahahaaahh Mr. Rocky kuna haja ya kumwingiza ndoani kwa nguvu huyu Mbu ili apate uzoefu eti eh?..................................[/QUOTE]

Kabisa maana anazungumzia miguu yote ikiwa nje hataki kuingia. Hapo huo uzoefu ataupata wapi wakati hata kuchungulia kukoje hataki

...lol... hii sasa shughuli, hehe hehe! Na wale wanaotupa mafundisho ya ndoa na maisha ya kiroho je?
Haya bana, acha nichangie kimya kimya...lol...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…