Kuolewa kuna raha zake!

[/COLOR]

sawa bana,.....unajua mkuu,...binadamu tuna hulka ya kuogopa vitu vingine ambavyo hatuvifahamu,...ucjali ntaoa_mimi sio muoga hata kidogo

Mimi siku yako ya kuoa lazima nikusainishe affidavit maana utakuwa umepitiliza muda wako wa kuoa.
Ila mkuu we jipange tuu haya mambo hayakwepeki.
Huyo anayekudanganya kuwa eti anatafuta njia ya kutoka ni muongo. Na inawezekana ni wale waliooa kwa majaribio

Samawati unajua kama mumeo anapitaga JF, na unafaham ID anayotumiaga?

Maana ulivyojieleza nahisi kama wewe mke wangu!...

mHH HUBBY..Kwani nimesema uongo?

usijali kiongozi wangu ,......tuko pamoja

Wakulala nae? ha ha haaa hayo masaa 2 mengine kamalizia kwingine ndio unayaringia. Achana na kiumbe mwanaume bana

Wenzio tuna mipango ya kuacha wewe unakuja na story za kudanganya watu Mkuu IGWE wala usijaribu kutia pua utajitafutia balaa bure.
Wenzio na nani????? Sema wewe mwenyewe ndio una mpango huo kama imekushinda wewe usifikiri na wenzako ndio hivyo hivyo

Nitakushikia bango wewe na bendera kila siku imeandikwa Igwe oa mpaka utachoka

ahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!.....kaka ntaoa,..halafu nampigia cm mpnz wangu hapokei sijui kesha ona post zangu humu hivyo anaona namchombeza,...ngoja nipige tena

Mwambie hapo maana naona kaweka watu wote wana mpango huo wakati ni yeye tuu ana mpango huo

Ungerekebisha kidogo kuwa ..Kuolewa na mtu akupendaye kwa dhati...but hivyo vijisababu ulivyovitoa mh..nachelea kuvamiwa na Wabeijing.
Kila la kheri kwa ndoa yako dada

ahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!.....kaka ntaoa,..halafu nampigia cm mpnz wangu hapokei sijui kesha ona post zangu humu hivyo anaona namchombeza,...ngoja nipige tena

Hahahhahaah kashaona kijana huna mpango unampotezea tuu muda wake na maisha yake.

karibuni kwenye harusi yangu dec hii,kama bwanaharusi hajaghairi lakini!!!

mhhhhh sijui hata niseme nini...lol
utfanya nije tu nimuone bwana harusi alivyo..lol
maana wewe si mwanamke wa utani utani lo
ni mwanamke hasa lol

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…