nini madhara ya kutokuoga??
huku nilipo baridi inaanza na nahisi ratiba yangu ya kuoga itabadilika lol
what is the worst that can happen to me???? nipeni darasa....lol
Trust me,personal hygiene ni mojawapo ya topics kuhusu afya na usalama. Unaweza kupata psychosocial problems kwa kudhani watu hawakupendi ama wanakutenga kwa sababu unanuka na hujijui! At a minimal,oga twice daily. Hongera kwa kuwa abroad,hehehe