Kuoga ni Kipaji...?

Kuoga ni Kipaji...?

kama hamna maji piga deodorant kwapani 24hrs kitu kavuu ila usinyanyue mkono maaana mmh,,,,,,
 
kama ni kipaji bas wengi hawana..

haswaa wazungu teh teh!

mtu usipooga kwa siku mbili afu unaishi dar inakuwaje aisee...
kuna binadamu wanaishi kwa nguvu za body spray...

hawapendi kuoga hata kama maji yapo!!
Husninyo mpwapwa maji yapo?

Ha ha haaa...wewe je? Kwako kuoga ni kipaji au mazoea au lazima?
 
Ni hobbie sio kipaji jamani, kuna watu nawafahamu kwa majina eana mzio na kuoga
 
kama ni kipaji bas wengi hawana..

haswaa wazungu teh teh!

mtu usipooga kwa siku mbili afu unaishi dar inakuwaje aisee...
kuna binadamu wanaishi kwa nguvu za body spray...

hawapendi kuoga hata kama maji yapo!!
Husninyo mpwapwa maji yapo?

mmmmhhhhh Husninyo???????
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna mtu anawajua wasiooga humu jukwaani anitajie majina yao tafadhali
 
Back
Top Bottom