kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,488
- 18,364
kama ni kipaji bas wengi hawana..
haswaa wazungu teh teh!
mtu usipooga kwa siku mbili afu unaishi dar inakuwaje aisee...
kuna binadamu wanaishi kwa nguvu za body spray...
hawapendi kuoga hata kama maji yapo!!
Husninyo mpwapwa maji yapo?
Kwa mwili ambao haujaoga pafyumu yenyewe inakuwa kero.pafyum inasaidia sana siku hizi
wewe ngoja aje Kipaji Halisi akufafanulie maana ya hicho ulichotamka hapo juu
hahahahaha!! Utajatumbukia siku we haya!
Ahaha..yale maji ya chumvi ukiogea lazima ujihisi unanata nata!!!!:Cry::Cry::Cry:
unataka kusema kipaji chake ni kwenye kuoga? duh kweli ni Kipaji Halisi
pafyum inasaidia sana siku hizi