fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso.
Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki nyingi.
Na pia huoga kwa awamu 2,awamu ya kwanza naanza kichwa,uso,mikono hadi usawa wa kiuno.Najisafisha vizuri na ndipo nakuja awamu ya 2 ambapo naanzia kiuno kuja hadi miguuni,nasugua nyayo vizuri na nikimaliza natoka bafuni na kuja chumbani ambapo naufuta mwili kwa taulo la pili,lile la bafuni hubaki huko na chumbani lipo taulo jingine.
2.KUVAA NGUO
Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi na ndipo huvaa suruali,nafunga mkanda wa suriali na kujitazama kwenye kioo,ndipo navaa soksi na kutoka chumbani,nikiwa na slippers hadi kwenye meza ya chai,nikimaliza chai navaa viatu na kuondoka.
Viatu huwa naandaa mwenyewe toka usiku,kama ni rangi ntapiga,kama nikufuta tu ntafuta mwenyewe.
Vipi wewe mwenzagu usomae uzi huu,huwa unafanyaje?