Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

Karucee na ww ni walewale
Mpenda vya bure "be a man bwana" umeoaa mke sura mbaya unajifariji eti nimefata tabia, wazuri hawataki kupumuliana bure teh teh! Endelea Kudissect bure!

Sina cha kukujibu dogo.
 
---- WEWE MTOKA PABAYA

mama yako ndo anasura mbaya ndo maana kaolewa na baba ako ukazaliwa wewe maaana BABA YAKO ANAPENDA KULELEWA

falaaa wewe
We tengeneza V za bure, waZuri wote , Mara zote wanapata hela, we liwa bure tu...
 
embu kua kua kwanza mana yaelekea ndobdo lena wa kugegenda wewe ukiwa fundi utapunguza kasi
 
kilapalio I wish you were living on those stone eras, but since you are in this globalized let people comment and tell the young what is good for them to know, ila kwa upuuzi huu alioandika kwenye hii thread bora awe teja tutamwelewa kuliko kuwa baba mtarajiwa.

We nawe ni mtazamo wake we live in a free world with free minds; sio lazma azaliwe kwenye ugoni and by the way hii mifumo ya ndoa na Dini ni tamaduni Za kigeni ambazo hazikuwepo tokea mwanzoo kwenye historia yetu.zamani Watu walikuwa wanaoa na kuzaa na wanawake tofautii kila kukicha
 
Last edited by a moderator:
Ambao hawajaoa na kuolewa utawajua tu kuanzia lugha mpaka maneno hovyohovyo utoto mwingi na maziwa mdomoni ..ukifikia hiyo stage utaelewa lakini sahivi haya yaache kwanza si size yenu,ndoa ni kina kirefu ati.
 
We nawe ni mtazamo wake we live in a free world with free minds; sio lazma azaliwe kwenye ugoni and by the way hii mifumo ya ndoa na Dini ni tamaduni Za kigeni ambazo hazikuwepo tokea mwanzoo kwenye historia yetu.zamani Watu walikuwa wanaoa na kuzaa na wanawake tofautii kila kukicha

Uhuru una mipaka yake, freedom does not mean free. Hata sheria inapompa mtu haki kwa mkono mmoja inampokonya kwa mkono mwingine. Sio kweli kusema kwamba kabla ya mifumo ya ndoa tuliyonayo eti mtu alikuwa anazaa na kila mwanamke. Dhana ya ndoa na heshma yake ipo tangu dahari hapa kwetu Afrika. Ni kweli wazee wetu walioa wake wengi lakini sio kama usemavyo kuwa ilikuwa kama kuku na ndio maana hadi leo ndoa za kimila (ambazo huwa potentially polygamous) bado zinatambulika kisheria.
 
Kama ni kweli kina Bill Gates na Dangote wangekuwa single....(just thinking)
 
Kuna watu wengine wamepewa akili kwa ajili ya kuwaza tu...

Kuna wengine wamejaaliwa akili kwa ajili ya kufikiri...
 
na baba y.ako nae ni mpenda vya bure, si amuache mama yako kama hapendi vya bure....
 
Nimegundua waliioa wana save money, maana mi sigegedi bure, waliooa kupendelea vya bure! nalipia then na doo! Ndomana kunoga, nikifikiria udhamini niliotumia, ndo nasugua balaa, afu type tofauti tofauti,nikifulia tu, ntaoa! Je ww uko upande gani? Unapenda vya bureee e? Utasikia ndoa tamu hamna lolote...

mmmnh hiki kijembe kama kinajibu sredi fulani hiviiii....
 
quid pro quo'-something for something endelea kununua maziwa wenzio wanafuga ngombe wanajisevia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom