Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

Kwa vile bado unanuka maziwa hebu kamuulizee baba yako kuwa naye alipenda vya bure atakupa jibu ndio uje nalo hapa

mwabeja sana kwa jibu murua.....i hope the guy is satisfied with it.
 
Ovyoooo...Aliyekuambia wenye ndoa hawanunui na kununuliwa nani? usikia michepuko unaielewaje?
 
yes kuoa ni kudhihirisha hujiamini kuishi peke yako pia we ni tegemezi unakwepa gharama za kuwa na wapenzi wazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom