Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

jacobian

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
417
Reaction score
158
Nimegundua walioa wana save money, maana mi sigegedi bure, waliooa kupendelea vya bure, nalipia then na doo! Ndomana kunoga.

Nikifikiria udhamini niliotumia, ndo nasugua balaa, afu type tofauti tofauti, nikifulia tu, nItaoa! Je wewe uko upande gani? Unapenda vya bureee e? Utasikia ndoa tamu hamna lolote.
 
Hadi ukianza kuharisha mfululizo nadhani ndio utajitambua
 
Nimegundua waliioa wana save money, maana mi sigegedi bure, waliooa kupendelea vya bure! nalipia then na doo! Ndomana kunoga, nikifikiria udhamini niliotumia, ndo nasugua balaa, afu type tofauti tofauti,nikifulia tu, ntaoa! Je ww uko upande gani? Unapenda vya bureee e? Utasikia ndoa tamu hamna lolote...

Hivi vitoto vinadhani ndoa ni kwaajili ya kuvuana nguo za ndani tu .....

Kaazi kweli kweli ....

Halafu kanaweza kujidai eti na kenyewe kanaijua ndoa .....!!
 
Kwa vile bado unanuka maziwa hebu kamuulizee baba yako kuwa naye alipenda vya bure atakupa jibu ndio uje nalo hapa

Huyu hata babake sidhani kama anamfahamu. Huwezi kuwa na baba ukaishia kuwa kilaza kiasi hiki..
 
Huyu hata babake sidhani kama anamfahamu. Huwezi kuwa na baba ukaishia kuwa kilaza kiasi hiki..

hahaaaaa unaweza kuta amezaliwa ndani ya ndoa......ila basi tu uko vijiweni wanapeana ujinga......na kumwingiza kwenye mtandao.......
 
Kwa vile bado unanuka maziwa hebu kamuulizee baba yako kuwa naye alipenda vya bure atakupa jibu ndio uje nalo hapa

Ungemuuliza kwanza babake anamjua? Mitoto inayozaliwa kwenye ugoni hii hainaga heshma kama namna ilivyokuja duniani.
 
Ungemuuliza kwanza babake anamjua? Mitoto inayozaliwa kwenye ugoni hii hainaga heshma kama namna ilivyokuja duniani.

hahahaaaa!!.... Kweli kabisa kitoto kinajiropokea tu. Dogo anapewa za uso tu
 
Ungemuuliza kwanza babake anamjua? Mitoto inayozaliwa kwenye ugoni hii hainaga heshma kama namna ilivyokuja duniani.

We nawe ni mtazamo wake we live in a free world with free minds; sio lazma azaliwe kwenye ugoni and by the way hii mifumo ya ndoa na Dini ni tamaduni Za kigeni ambazo hazikuwepo tokea mwanzoo kwenye historia yetu.zamani Watu walikuwa wanaoa na kuzaa na wanawake tofautii kila kukicha
 
Ungemuuliza kwanza babake anamjua? Mitoto inayozaliwa kwenye ugoni hii hainaga heshma kama namna ilivyokuja duniani.
Ivi mkeo angekupa bili unaweza lipa ww? Utasikia mi nimedumu na mke wangu miaka kumi...teh teh
 
Nimegundua waliioa wana save money, maana mi sigegedi bure, waliooa kupendelea vya bure! nalipia then na doo! Ndomana kunoga, nikifikiria udhamini niliotumia, ndo nasugua balaa, afu type tofauti tofauti,nikifulia tu, ntaoa! Je ww uko upande gani? Unapenda vya bureee e? Utasikia ndoa tamu hamna lolote...

Umelogwa wewe co mzima hata kidogo
 
Umelogwa wewe co mzima hata kidogo

Kaka na ww umenogewa na vya bure nn? "Clever women never get marriage"
Ndomana wanawake wazuri hawaolewi! Mtazame mkeo! Hawataki ugegede buree teh hahaqaa
 
Yaani ukisikia pumba hizi ndio pumba.

Hebu changamsha akili yako weweee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom