Kwa vile bado unanuka maziwa hebu kamuulizee baba yako kuwa naye alipenda vya bure atakupa jibu ndio uje nalo hapa
Kaka na ww umenogewa na vya bure nn? "Clever women never get marriage"
Ndomana wanawake wazuri hawaolewi! Mtazame mkeo! Hawataki ugegede buree teh hahaqaa
We nawe ni mtazamo wake we live in a free world with free minds; sio lazma azaliwe kwenye ugoni and by the way hii mifumo ya ndoa na Dini ni tamaduni Za kigeni ambazo hazikuwepo tokea mwanzoo kwenye historia yetu.zamani Watu walikuwa wanaoa na kuzaa na wanawake tofautii kila kukicha
Unatetea vya bure , huna lolote! Mkiliwa buku tu, full kusononeka...
Wapenda vya bure utawajua tu!
Wenye sura mbaya ndo wameolewa, nadhani na we umo! Wazuri hawajaolewa hawakatwi bure! WenZio wanajenga! We gawa bure tu
Unatetea vya bure , huna lolote! Mkiliwa buku tu, full kusononeka...
Haka katoto kamenirushia stim zangu sijui ntazirudishaje!