Kuoa mtu mwenye ulemavu sio kufeli

baba aura

JF-Expert Member
Aug 5, 2023
230
348
Habari Wakuu,

Leteni ushuhuda hapa wadau kwa wale walemavu waliooa au kuolewa na mulemavu mwenzie.

Nianze na upande wangu, mimi ni mlemavu wa sikio (kutosikia vizuri), nimeoa dada mwenye tatizo kama langu na maisha yanaenda kama kawaida

Kuoa mlemavu sio kufeli!
 
Sasa mkuu unataka uzae walemavu yaan unaongeza possibility kama ni ugonjwa wa kurithi

unavooana mzima na mremavu uwezekano unapungua wakurithisha!!
 
Habari Wakuu,

Leteni ushuhuda hapa wadau kwa wale walemavu waliooa au kuolewa na mulemavu mwenzie.

Nianze na upande wangu, mimi ni mlemavu wa sikio (kutosikia vizuri), nimeoa dada mwenye tatizo kama langu na maisha yanaenda kama kawaida

Kuoa mlemavu sio kufeli!

Nina mpangaji wangu ana mke mremavu mguu aisee yule mama nampenda ana akili afu mjasiri yaan anatabia fulan had nimejikuta namsifu sana
 
Mambo ya watu wenye ulemavu yako sensitive hivi, embu tuyaache
Manara wazazi wake wangekuwa na ulemavu wa ngozi ni dhahiri watoto wake uwezo wa kuwa albino ungekuwa mkubwa. Hii case yake iko tofauti. Angalia familia waliooana wote ni mbilikimo, zaidi ya nusu ya watoto wao wanakuwa mbilikimo.
 
Cha msingi ni unavyojihisi kwa kile unachokifanya. Kama umeoa mlemavu na ukahisi umefeli bhasi umefeli na kama una furaha na umefanikiwa kiasi cha kuona hujafeli, bhasi haujafeli

Kinachojalisha ni fullfillment hivyo, maneno ya watu waliobakia sio kitu
 
Sio kila mlemavu amezaliwa akiwa mlemavu la hasha wengi wanapata ulemavu wakiwa wakubwa tu for example mimi sikuzaliwa mlemavu na hata mwenzangu hakuzaliwa akiwa mlemavu bali matatizo madogo madogo tu ndo yanayoletea changamoto za ulemavu
Fafanua kdg ulipitia changamoto gn mkuu
 
Mi ninadate mlemavu wa kumwaga maji wakati wa tendo, yaani kila mechi lzm iishe na kuanika godoro, sema naenjoy
 
Back
Top Bottom