Kuoa binti mwenye mtoto

Una akili sana wewe nimekupendaje? Wanaume kama mumeo wako wengi sana. Pale ambapo wanakutana na penzi la kweli hata kama kuna mtoto watauliza maswali ya kina na wakishapata majibu ya kuwaridhisha basi mtoto anakuwa si kipingamizi katika maamuzi yao ya kufunga pingu za maisha na asilimia kubwa humlea mtoto kwa mapenzi tele kama ni mtoto wao wa kuzaa. Ahsante sana kwa kuweka mfano wako.

 
Ukioa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine, unakuwa mume mdogo. Kwa sababu huyo mwanamke tayari ana mume mkubwa.

So mnakuwa wanaume wawili mmeoa mwanamke mmoja.

Ni mtazamo tu.

 
Heading ingekuwa "kuoa mama mwenye mtoto" mwanamke akizaa huitwa mama sio binti ati! watendee haki akina mama.
 
Mh iyo kaka inaitaji moyo, mbaya zaidi kama toto lenyewe full kufanana na babaake yaani taswira za alivyokuwa akivurugwa aziishi kila ukimuona mtoto. mambo aya usikie kwa wengine tu. ila tunatofautiana ati
 
hapa wadada watashabikia sana ila ukweli ni kwamba hata wao hawapendi kaka zao waoe wenye watoto
 
Narudia na ntaendelea kurudia tena....... MAHAWARA HAWAACHANI!!. Usithubutu kutaka kumjua hawara wa mke/mme wako. UTAKUFA KWA PRESHA!!!
 
aisee....
 
Ukioa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine, unakuwa mume mdogo. Kwa sababu huyo mwanamke tayari ana mume mkubwa.

So mnakuwa wanaume wawili mmeoa mwanamke mmoja.

Ni mtazamo tu.

hata mi niko pa1 nawe we owa 2.tena kwakuwa amesha tendwa atakupenda sana tena sana.wangapi wanaowa wanawake wanaojiuza tena wamo jf we ni strong man .ucogope hakuna cha baba wapil au la kumbuka upendo wako ndo utamfanya baby akutambue,akupende na akuthamini.ni wachache wasemao ukweli.by wida
 
aisee....

ukichunguza sana uyo atakuwa m2 guest x2.bro nakupa baraka km mdogo mwema au frend mwema we chukua mzigo huo na umlinde.wengine humu wanachonga mbona madem zao wanachapiwa.marry her
 
Kwan wewe unamuoa mtoto au mama ake sion chakuumiza kichwa piga mimba tangaza nia fasta bora ulijualo halikusumbui.unaeza kuoa asiye na mtoto akawa hazai pia ama akakubambikiza watoto
 

Hili la mwisho linafanyika sana......na wanaume wengi hawalioni......wanaliona la kuzalishwa tu.....
 
Kwan wewe unamuoa mtoto au mama ake sion chakuumiza kichwa piga mimba tangaza nia fasta bora ulijualo halikusumbui.unaeza kuoa asiye na mtoto akawa hazai pia ama akakubambikiza watoto

simple minded kwahiyo mwanamke mwenye mtoto ndio anazaa siyo? mbona mimi kuna ndoa nimeiona huu ni mwaka wa 10 sasa mwanamke alikiwa na mtoto na mwanaume alikuwa na mtoto kabla ya kuoana lakini mpaka sasa mtoto wao kama wanandoa hawajafanikiwa kumpata?
 

Kumbe una majibu? Nakushauri hili iyo namba mbili si sababu mana uwezi kuoa huna kazi utaangaika sana na unaweza kufanya ukawa unasaidiwa nje matumuzi na unyumba pia kwa sasa uwezi kumpata binti anayejielewa akubali umuoe huna ajira never
 
Ukioa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine, unakuwa mume mdogo. Kwa sababu huyo mwanamke tayari ana mume mkubwa.

So mnakuwa wanaume wawili mmeoa mwanamke mmoja.

Ni mtazamo tu.
Kwa kuwa ni mtazamo, acha uwe mtazamo. Siku hizi hata kama hamna mtoto na huyo mke, mnaweza kuwa wanaume hata watatu mmeoa mke mmoja bila kujuana, ila ni mmoja tu anaekuwa anajulikana rasmi. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri.
 
itategemea alivyomlie mie nimelelewa na baba mlezi (sipendi kumwita wa kambo maana namuheshimu sana) nampenda na mjali sana
Mtoto akiwa wa kike raha ila wa kiume lazima amtandike maana inafikia, bilogically, kuna wivu fulani kwa mama yake. Hapo ndipo kutandikwa hakuepukiki. Hata wewe kama baba ana mke mwingine ni hatari kwake ingawa sisi wanaume utasacrifice mtoto ili k yako iwe salama. Mama hawezi hata siku moja akasacrifice mtoto ati anatetea dushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…