Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Kosa ni la anayetaka kuoa ama aliyempa mtoto halafu akamuacha?
nadhani wewe ndiye uache kauli za Kijinga.
Hizo bange mkuu wazijua lakini ? isije kuwa waandika by imagination.!
nisaidie kunielewesha... sim ya vibatani ikoje
nawe ni team popo?
na watch game ngoma inaenda dk 120
Kwangu kutunza sio issue ya kujadili. Issue hapa ni uhusiano kati ya hawa viumbe waliozaa pamoja. Uhusiano wao upo na utazidi kuwepo coz wanaunganishwa na mtoto. Tatizo linakuja wanapotumia fursa hiyo kuwa na uhusiano zaidi ya malezi ya mtoto. Hilo tu.Ninaona kuna tatizo la kutunza hapo!
nyie mnao quote thread nzima na kuandika mistari miwili mnatuchosha aisee.
Basi njoo unioe mimi ambaye kama wewe niliogopa perception ya jamii nikatoa mimba 7 kiasi kwamba hadi kizazi kimeharibika hivyo uwezo wa kuzaa sina.Hapana mkuu simtoi kasoro kama umenifuatilia nimemsifia pia kuwa haoneshi kama amezaa na lengo langu hasa ni kufaham perception ya jamii yetu katika mazingira kama haya
Kwangu kutunza sio issue ya kujadili. Issue hapa ni uhusiano kati ya hawa viumbe waliozaa pamoja. Uhusiano wao upo na utazidi kuwepo coz wanaunganishwa na mtoto. Tatizo linakuja wanapotumia fursa hiyo kuwa na uhusiano zaidi ya malezi ya mtoto. Hilo tu.
Sioni tatizo kama mnapendana mtoto si ishu. Jamii imezoea mfumo dume ndio maana unapata taabu kuamua. kuna mama vichanga wengi tu sema viliishia kusikojulikana sasa usidanganywe na muonekano wa mtu kama watu wangechunguzwa kungepatikana na idadi kadhaa ya wakaka na wadada wasiokolifai kuitwa hawana watoto. Wengine hawana kwa sababu siku hiyo haikua siku ya hatari na wengine hawana kwasababu walicholopoa.

waambie hao........ wanawake wenye watoto waheshimiwe na watu wote... wamesacrifse mengi sana.....
Kwangu kutunza sio issue ya kujadili. Issue hapa ni uhusiano kati ya hawa viumbe waliozaa pamoja. Uhusiano wao upo na utazidi kuwepo coz wanaunganishwa na mtoto. Tatizo linakuja wanapotumia fursa hiyo kuwa na uhusiano zaidi ya malezi ya mtoto. Hilo tu.
Mtanipinga sana ila huo ndio ukweli mtupu kiafrica africa. Mimi binafsi nimeshaletewa watoto wawili kutoka kwa wanawake tofauti ambao kwa sasa wameolewa na bfoa zao zina amani tele kwa muonekano wa nje, nami nalea watoto wangu kwa amani nikisaidiana na bibi yao, I love them, soon nitawaletea mama yao (step mother)
waletee huyo step mother, watamkomaje mpaka wataamua kuwa chokoraa if you will not be intelligent
Basi njoo unioe mimi ambaye kama wewe niliogopa perception ya jamii nikatoa mimba 7 kiasi kwamba hadi kizazi kimeharibika hivyo uwezo wa kuzaa sina.
It is no joke, kuna ndugu yangu ana ndoa ya miaka 20 hana mtoto. Na mkewe inasemekana alitoa mimba sana kipindi cha usichana.
Nawakubali sana mabinti waliozaa mimba za usichana, maana madenti wengi wanaporomoa vitoto. Ndio maana mdau hapo juu, anakwambia unataka aliyezalia chooni?