Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Duh pole sanaKwanza usingizi mpaka leo ni Adimu kuupata halafu nawahi kuamka! kwa sasa ninapokunywa hiyo kahawa tumbo lazima liume....Dokta kanikataza kabisa!
Duh pole sanaKwanza usingizi mpaka leo ni Adimu kuupata halafu nawahi kuamka! kwa sasa ninapokunywa hiyo kahawa tumbo lazima liume....Dokta kanikataza kabisa!
Coffee containing caffeine can cause insomnia, nervousness and restlessness, stomach upset, nausea and vomiting, increased heart and breathing rate, and other side effects. Consuming large amounts of coffee might also cause headache, anxiety, agitation, ringing in the ears, and irregular heartbeats.
atakuwa na aleji huyo. Wengine kweli maziwa kwao no hatari.Maziwa ya Ng'ombe yana mazara kwa binadamu.
Maziwa ya ng'ombe gani hao yenye madhara? Na ni madhara gani hayo?Tuacheni ujinga jamani, kahawa ina madhara mengi kuliko faida. Kahawa,Pombe,Sigara,Maziwa ya Ng'ombe just to mention but a few.
Noma sana...Mimi nikionja hata robo kijiko cha chai silali mpka nane za usiku. Naishia kuchat tu JF.