Kunyweni kahawa ina faida lukuki

Kunyweni kahawa ina faida lukuki

Kama inaongeza nguvu za kiume watakunywa

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania hivihivi huwa hawaelewi, waambie
1. Inaongeza nguvu za kiume
2. Inatengeneza Shape
Watainywa hiyo mpaka soko la nje wakose ya kununua

Kahawa hutumika kupanga uzazi...hii ni elimu wanayoijua watu wachache sana hasa madaktari.
 
Watanzania hivihivi huwa hawaelewi, waambie
1. Inaongeza nguvu za kiume
2. Inatengeneza Shape
Watainywa hiyo mpaka soko la nje wakose ya kununua
Watanzania hivihivi huwa hawaelewi, waambie
1. Inaongeza nguvu za kiume
2. Inatengeneza Shape
Watainywa hiyo mpaka soko la nje wakose ya kununua
You made my day Rubii
 
Hilo ni tangazo la Biashara na hivo msheshajitangaza

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu wanakunywa kahawa strong sana na hawaweki sukari lakini hawana presha , wala ugonjwa wowote ule. Kunyweni kahawa acheni kudanganywa tena inatibu kibofu cha mkojo kwa wale wenye matatizo hayo.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mimi siku yangu huanza na kahawa kavu, isiyo na sukari, kwa kweli ni tamu sana.
 
Sitakunywa kahawa hapa dunian labda mbinguni...
Madhara yake ni makubwa sana..mwenyewe ni shahidi

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
embu tujuze kwa ushahidi wako.
 
Wazungu wanakunywa kahawa strong sana na hawaweki sukari lakini hawana presha , wala ugonjwa wowote ule. Kunyweni kahawa acheni kudanganywa tena inatibu kibofu cha mkojo kwa wale wenye matatizo hayo.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Kuna mzungunamfahamu anaipiga bila sukari asee. Sisi tumezoea majani ya chai

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Tuacheni ujinga jamani, kahawa ina madhara mengi kuliko faida. Kahawa,Pombe,Sigara,Maziwa ya Ng'ombe just to mention but a few.
Sasa ukiacha hivyo vitu utaishi wapi mkuu. Labda sigara

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Sitakunywa kahawa hapa dunian labda mbinguni...
Madhara yake ni makubwa sana..mwenyewe ni shahidi

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Madhara gani hayo? tupe elimu kidogo!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kahawa nimeinywa sana wakati nasoma! Ila kwa sasa ndio naona madhara yake,nadhani kahawa inayoongelewa sio hii ya kwetu.
 
Mi sinywi kahawa kwasababu, siku nikinywa dushe huwa halilali na sipati usingizi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kama haupendi kahawa unaweza kunywa soya ambayo haijakobolewa ni nzuri sana kwa wanaume

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuielewa kahawa na sidhani kama nitakuja kuinywa...Substitute yake kwangu ni Green Tea basi
 
Wazungu wanakunywa kahawa strong sana na hawaweki sukari lakini hawana presha , wala ugonjwa wowote ule.
Uthibitisho wa kutokuwa na presha au ugonjwa wowote ule ni upi mkuu?
 
Back
Top Bottom