Kunywea pombe club ni hatari sana

Kunywea pombe club ni hatari sana

Kwenye starehe ni hela ndogo mno,labda kama hujui starehe ni gharama
Tena ndogo sana kingine watu tunafanya hizi mishe mara moja moja sio ndalilo kila siku uko bar.

Ni furaha kuwa na marafiki ni furaha kulewa na marafiki [emoji23][emoji23]
 
Acha kudakia mambo usiyoyajua pana hela gani ya ajabu hapo?
1.bangi kete 2=1000
2.big G 3=300
3.maji nusu lita=1000
4.samaki wa kuchoma na limao=4000
5.KONYAGI/K VANT ndogo=4500
6.korosho=1500..
JUMLA 12300/=

Rasta afadhali umeokoa jahazi, maana ukitaja vitu watu wanahisi bei ndefu, lakini tunalipuka kikawaida sana
 
Unaizalilisha Id yako...sasa ww si bora ufe tu...unatumalizia pumzi...unakuwaje na idea za kimasikin namna hiyo.,..
yaani jamaa kanishangaza sana kuona 12,000 ni ndogo kwenye bar. Mimi nikiwa na 12,000 siendi bar, naenda kwa mangi namlipa kabisa cash ndio naanza kunywa.
Wakitokea wale vijana wa niungie kikombe cha jero namwambia sina hela coz nina bajeti yangu tu na nishalipia. Hata akitaka sigala ya 100 namwambia sina, siwezi kumkopea mtu, ajitahidi akope halafu si atamlipa tu.

Juzi kati hapa nipo kwa mangi nimewakazia vijana 6 si vikombe wala sigala wakati siku nyingind nawapaga.
 
Punde tu hapa kuna chalombe kashikiliwa kwenye boda kama kadanja vile kumbe kazima...

Vitu vyake kashikiwa na washkaji
.
Kuna baadhi ya bar ndo michezo michafu sio zote
 
Rasta afadhali umeokoa jahazi, maana ukitaja vitu watu wanahisi bei ndefu, lakini tunalipuka kikawaida sana
Halafu ndio maisha yetu ya kila siku...
Furaha yetu sio mpaka tuwe na hela nyingi...
 
Kipindi natumia Kinywaji nilikua nahimizwa kuto acha bia nikienda toilet then nikairudia.
Nilikuja kuamini kipindi napambana kuacha bia ile unakujwa kwa kustukiza kwa mwezi au baada ya miezi 2 unaifumania then unaapa kuto rudia.
Siku moja nikiwa nimelala kwenye ndoto niliona mwanamke/mhudumu amejichana kidole halaffu ile damu anaichanganya kwenye bia wakati anaifungua ili asambaze vvu.
Nikagundua kwenye uasi hakuna huruma, Asante Yesu amenisaidia niliachaga bia na siitamani.
Ukimwi hausambazwi hivyo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
.....Uoga tu Huo...kama unaishi na watu vizur haina haja ya kuwa na mahofu yasiyo na kichwa wala miguuu....we wakuue kwa kutafuta nini hasa kwako kwanza hapo ulipo unakunywa ngumu kumeza watakuibia nini kwa mfano
Mzee kila mmoja na maisha yake , wewe endelea kuishi maisha yako hayo uliyoyazoea ...

Kuishi vizuri na watu haimanishi ndo upo salama.
 
Mi mdau wa kaunta. Kaunta ikijaa naweza change plan. Uangalizi wote unakua chini ya muuzaji wa kaunta.
2. Ishu ya kuambiwa naomba hela wakati pombe siioni mezani hua sipendi. Nikitoa hela sikubali irudi mfukoni mwangu.
Ova
We kama mimi tu bar huwa nakaa kaunta tu la sivyo nahama kiwanja
 
Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe...hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko.

Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali!

Mhudumu anakufungulia kinywaji huangalii, kuna bia zinakuwa zimechacha..anaweza hata akakuwekea sumu, flgyl, au madawa ya kulevya ukayabugia. Unakufa kirahisi sana[emoji1745]

Una bifu na mtu anakuwekea kitu kwenye chupa kwa Siri bila wewe kujua, inavhangangikana na bia. Unaitafuna.

Hatari mwanzo mwisho.
Mambo ya klabu tuachie wenyewe. Wewe endelea kubeti na kukimbizana na madem.
 
Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe...hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko.

Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali!

Mhudumu anakufungulia kinywaji huangalii, kuna bia zinakuwa zimechacha..anaweza hata akakuwekea sumu, flgyl, au madawa ya kulevya ukayabugia. Unakufa kirahisi sana[emoji1745]

Una bifu na mtu anakuwekea kitu kwenye chupa kwa Siri bila wewe kujua, inavhangangikana na bia. Unaitafuna.

Hatari mwanzo mwisho.
Legends huwa hatuendi club au bar tunazofahamika kwahiyo unakuwa umepunguza risk ya kufanyiwa umafia.
Kingine huwa hatuendi straight club au bar, unatengeneza vituo hata vitatu kabla ya kufika sehemu uliyoikusudia, hii itakusaidia kujua wanaokufuatilia na kuweza kuwapoteza maboya.
Pia usiende kula bata ukiwa na company, ni rahisi washkaji kukuzunguka na kukuchorea ramani ya kuangamizwa.
Cha mwisho, japo sio kwa umuhimu, ratiba zako za kula bata ziwe confidential na zisizo tabirika.
Yaani isijulikane kuwa Jumamosi au Jumapili ndiyo unaenda kula maisha, iwe siku yoyote tu hata Jumanne au alhamis unaenda kula bata.
Be unpredictable!!!
 
Unaona 12300 ni hela ndogo kwa mara moja?
duuuh! ..aisee kama unaona 12300 ni hela,na huwezi kutumia mara moja...basi ongeza bidii kutafuta hela mkuu...kifupi hiyo sio hela kabisa mkuu🤣😂😂..narudia hizo wanatumia hata watoto kudimbia...tafuta hela, narudia tena mkuu TAFUTA HELA 🤣😂
 
Akili kama zako ndo zinazowaingiza watu wengi kwenye madeni na kuzidi kuwa maskini. Kama Tsh 12300 sio hela nenda kamuulize mama muuza maandazi kwenye shule ya msingi iliyopo jirani yako. Halafu wajinga kama wewe mnaosema nitafute hela ni kwamba tunafahamiana au?
 
mjinga wewe ambae unaona 12000 ni hela... TAFUTA HELA acha kupangia watu matumizi mpumbavu mmoja wewe...unaonea watu wivu kwenye 12000,.. huyo mama wa maandazi ndo wa kujilinganisha na wewe..shenzi... TAFUTA HELA acha kuingilia bajeti za watu...#kengemaji
 
Wewe mpuuzi unajidanganya sana. Hiyo 12000 unayoidharau ina thamani kubwa. Mimi unayeniambia nitafute hela ninazo za kunitosha kabisa... nina passport mbili zimejaa mihuri kwa kusafiri kwa gharama zangu mwenyewe. Siku nyingine usione kila mtu anayehimiza kutunza pesa ni maskini. Hizo Kvant na pombe mnazokunywa hovyo zimewafikisha wapi vijana zaidi ya kuolewa na wanaume wenzenu? Machawa mnaongezeka kisa ofa za huko bar.
 
Back
Top Bottom