NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,621
- 3,175
wewe chawa, passport mbili ndo unavimbia humu😂😂😂..Wewe mpuuzi unajidanganya sana. Hiyo 12000 unayoidharau ina thamani kubwa. Mimi unayeniambia nitafute hela ninazo za kunitosha kabisa... nina passport mbili zimejaa mihuri kwa kusafiri kwa gharama zangu mwenyewe. Siku nyingine usione kila mtu anayehimiza kutunza pesa ni maskini. Hizo Kvant na pombe mnazokunywa hovyo zimewafikisha wapi vijana zaidi ya kuolewa na wanaume wenzenu? Machawa mnaongezeka kisa ofa za huko bar.
nilijua ni masikini wa pesa tu, ndo maana nikakushauri utafute pesa, kumbe hata akili huna,....unaweza kusafiri kwa gharama za watu wewe kuku,..acha kujivunia passport we papai TAFUTA HELA...