Kunywea pombe club ni hatari sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe, hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko.

Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali!

Mhudumu anakufungulia kinywaji huangalii, kuna bia zinakuwa zimechacha..anaweza hata akakuwekea sumu, flgyl, au madawa ya kulevya ukayabugia. Unakufa kirahisi sana

Una bifu na mtu anakuwekea kitu kwenye chupa kwa Siri bila wewe kujua, inavhangangikana na bia. Unaitafuna.

Hatari mwanzo mwisho.
 
Ukiwa club au bar unakuwa makini zaidi, usiamwamini mtu.

Kwanza unanywea pombe kwenye chupa huku ukiilinda. Ukienda chooni unaenda na chupa yako mkononi.

Ukiona bia hazieleweki zinataka kukupanda kichwani unaenda home, usiage washkaji mana hakunaga kuaga bar au club.

Watu wamevurugwa sana kwa sasa!
 
Ni hatari kama una makandokando yako na jamii...watu tushalewa na defender za polis zikatusindikiza kulala kwa usalama....lakin pia kama ni mnywaji jua hatar yyte mbele yako, kikubwa kuwa na utu, usimuonee mtu.

Kamwe matabaka usiweke..jichanganye...usijifanye mjuaji...usijifanye una kipato kikubwa...mbaya zaid...ukilewa jitahid sana kutotoa maneno ya kashfa.

Utakuwa salama tu maneno hayo unayatoa kwa mtu ambaye steam bado...caz hata neno mbwa tu..litawaletea tafran..pombe ni hatar lakin hatar ni popote bila hata ya pombe..over
 
Mimi huwa naacha bia mezani bar nakwenda nyumbani kula kisha narudi baada ya masaa mawili naipigi bila shaka na huu ni mwaka wa 20 nakunywa bia
Kuna diwani kama sikosei ni Kawa road miaka hiyo alikunywa akajikuta anatapika bar kumbe watu wamefanya yao watu kuja kugundua baada ya kumuona paka naye amekata moto baada ya kula matapishi ya mzee baba katika maisha unaweza hisi wote wanakupenda kumbe hao hao wanakupenda ndio wanakupenda Zaid u R.I.P
 
Ukiwa Club jitahidi sana kunywea beer kwenye chupa na uishike popote unaposogea. Usimuachie kinywaji mtu unless ni mtu ukiyekuja nae na una muamini.

Unaweza ibiwa gari, au mali zako ulizo nazo mfukoni. Unawekewa kilevi unawehuka unakuwa haujielewi kila kiru unasema.

Na kama ni Demu unaweza leweshwa kisha watu wakaondoka na wewe wakaenda kukukula bila ridhaa yako na hautafanya lolote watakutupa huko asubuhi utakutwa jalalani tu huko.
 
Bapa moja ya konyagi,bangi mbili na sigara moja halafu napita hivi...
Utaskia kaka kaka niachie hata ya bia 2..
Bangi kete mbili kabla ya yote, then big G kama tatu, maji nusu lita, samaki wa kuchomwa na limao au supu ya ng’ombe ya jioni halafu limao nyingi, konyagi ndogo au vant ndogo huku natafuna korosho au karanga mbichi, mfuko ukiwa vyema grants, JD, black&white au red label, najikataa asubuhi, nakunywa maji lita moja, matunda kidogo kama chungwa na ovacado maisha yanaanzia hapo
 
Back
Top Bottom