Kunywea pombe club ni hatari sana

Kunywea pombe club ni hatari sana

Mpaka mtoto wangu akifikisha miaka 20 ndio naacha,imebaki mitatu(3)...

Mwaka juzi nlikua bar maarufu pale songea mjini ipo mkabala na bank ya crdb(sitaitaja jina) naficha code...

Nikakamua bapa langu halafu nikawasha bangi,nilijisahau sikuweka glucose.. Moshi ukatanda bar nzima ile wanatafuta inapowaka,me nikaagiza bapa nyengine halafu nikazima bange nikawasha sigara...

Walinibebabeba wakanipiga halafu wakanitupa nje...

Kesho nilikuja na polisi kama 8,nilisema nimeibiwa na mabaunsa wameshilikiana na wahudumu na wameniibia kila kitu na ushahidi ni gari nililokuja nalo lilikuepo parking...

Walijuta..
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe...hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko..

Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali!

Mhudumu anakufungulia kinywaji huangalii, kuna bia zinakuwa zimechacha..anaweza hata akakuwekea sumu, flgyl, au madawa ya kulevya ukayabugia. Unakufa kirahisi sana[emoji1745]

Una bifu na mtu anakuwekea kitu kwenye chupa kwa Siri bila wewe kujua, inavhangangikana na bia. Unaitafuna.

Hatari mwanzo mwisho.

Fact
 
Bangi kete mbili kabla ya yote, then big G kama tatu, maji nusu lita, samaki wa kuchomwa na limao au supu ya ng’ombe ya jioni halafu limao nyingi , konyagi ndogo au vant ndogo huku natafuna korosho au karanga mbichi, mfuko ukiwa vyema grants, JD, black&white au red label, najikataa asubuhi, nakunywa maji lita moja, matunda kidogo kama chungwa na ovacado maisha yanaanzia hapo
Nakubali rasta,hivi toka uanze kuvuta bangi unaweza kuwa umevuta tani ngapi rasta?
Yaani kama bangi uliyovuta ingekua inapimwa ungekua na tani ngapi
 
Huo ndio utaratibu na hakuna kutumia glasi zao, unakuta uko bar mara miglasi ya kuvunjika ndio unaletewa unywee, michafuchafu inanuka walioelimika siku hizi wanakupa plain disposable unakunywa ukimaliza unaitupa unaondoka,
View attachment 2566999
Wengine wanaokota Inaoshwa zinarudi kwenye mzunguko
 
Ukiwa club au bar unakuwa makini zaidi, usiamwamini mtu.

Kwanza unanywea pombe kwenye chupa huku ukiilinda. Ukienda chooni unaenda na chupa yako mkononi.

Ukiona bia hazieleweki zinataka kukupanda kichwani unaenda home, usiage washkaji mana hakunaga kuaga bar au club.

Watu wamevurugwa sana kwa sasa!
Kijana bado sio.mzoefu bora ummempa shule
 
Mtu akisoma hii comment akaenda kupiga mahesabu ya;
1. Bangi kete 2.
2. Big G tatu.
3. Maji nusu lita.
4. Samaki wa kuchomwa na limao.
5. Konyagi ndogo
6. Korosho

Anaweza kuona yeye tu ndo maskini. Humu mtandaoni tusome tu hizi nyuzi kujifurahisha. Ukiwa serious lazima udate.

Acha kudakia mambo usiyoyajua pana hela gani ya ajabu hapo?
1.bangi kete 2=1000
2.big G 3=300
3.maji nusu lita=1000
4.samaki wa kuchoma na limao=4000
5.KONYAGI/K VANT ndogo=4500
6.korosho=1500..
JUMLA 12300/=
 
Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe...hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko..

Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali!

Mhudumu anakufungulia kinywaji huangalii, kuna bia zinakuwa zimechacha..anaweza hata akakuwekea sumu, flgyl, au madawa ya kulevya ukayabugia. Unakufa kirahisi sana[emoji1745]

Una bifu na mtu anakuwekea kitu kwenye chupa kwa Siri bila wewe kujua, inavhangangikana na bia. Unaitafuna.

Hatari mwanzo mwisho.
Mm hua nakunywa baa ninazoziamini tu na hata kitakachonipata wahusika watawajibika
 
Back
Top Bottom