Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,058
- 9,702
Marehemu Kaka yangu Chidongo alikufa kifo hicho,
Alienda bar na wenzake wakiwa wanakunywa alienda chooni kurudi akanywa kinywaji basi ndo ikawa mwisho wake, maana naskia alijipigiza chini hapo hapo hakuinuka Tena