Kunywea pombe club ni hatari sana

Kunywea pombe club ni hatari sana

Akili mingi mkuu,tunaishi nao..
Bangi tunawasha mpaka kwenye pablik sevisi itakua bar..
Malaya,baunsa au bartender akileta unoko nachukua namba ya mwenye bar halafu atachagua yeye nimpakazie mavi au niendelee kula bulu.

IMG_1324.jpg

IMG_1323.jpg

Hua nakua na spray zangu hizi nikipiga hizi kamwe harufu ya weed kwisha kabisa
 
Akili mingi mkuu,tunaishi nao..
Bangi tunawasha mpaka kwenye pablik sevisi itakua bar..
Malaya,baunsa au bartender akileta unoko nachukua namba ya mwenye bar halafu atachagua yeye nimpakazie mavi au niendelee kula bulu.

Kama upo ndani na vitrey vyako vya kutupa jivu raha sana
IMG_1326.jpg

IMG_1325.jpg

Unatupia jivu huku unafyonza funda la konyagi safi kabisa
 
Akili mingi mkuu,tunaishi nao..
Bangi tunawasha mpaka kwenye pablik sevisi itakua bar..
Malaya,baunsa au bartender akileta unoko nachukua namba ya mwenye bar halafu atachagua yeye nimpakazie mavi au niendelee kula bulu.
Asa Kwa nn ujiweke ktk hatari kiasi hiki mkuu siuache tu kwani utakufa dah [emoji23]
 
Nina mzee wangu akiwa bar , akiwa anakunywa anahakikisha kamaliza chupa ndo anaenda toilet, kama haijaisha akirudi hanywi anaagiza nyingine.

Huo ndio utaratibu na hakuna kutumia glasi zao, unakuta uko bar mara miglasi ya kuvunjika ndio unaletewa unywee, michafuchafu inanuka walioelimika siku hizi wanakupa plain disposable unakunywa ukimaliza unaitupa unaondoka,
IMG_1327.jpg
 
Kipindi natumia Kinywaji nilikua nahimizwa kuto acha bia nikienda toilet then nikairudia.
Nilikuja kuamini kipindi napambana kuacha bia ile unakujwa kwa kustukiza kwa mwezi au baada ya miezi 2 unaifumania then unaapa kuto rudia.
Siku moja nikiwa nimelala kwenye ndoto niliona mwanamke/mhudumu amejichana kidole halaffu ile damu anaichanganya kwenye bia wakati anaifungua ili asambaze vvu.
Nikagundua kwenye uasi hakuna huruma, Asante Yesu amenisaidia niliachaga bia na siitamani.
 
Asa Kwa nn ujiweke ktk hatari kiasi hiki mkuu siuache tu kwani utakufa dah [emoji23]
Mpaka mtoto wangu akifikisha miaka 20 ndio naacha,imebaki mitatu(3)...

Mwaka juzi nlikua bar maarufu pale songea mjini ipo mkabala na bank ya crdb(sitaitaja jina) naficha code...

Nikakamua bapa langu halafu nikawasha bangi,nilijisahau sikuweka glucose.. Moshi ukatanda bar nzima ile wanatafuta inapowaka,me nikaagiza bapa nyengine halafu nikazima bange nikawasha sigara...

Walinibebabeba wakanipiga halafu wakanitupa nje...

Kesho nilikuja na polisi kama 8,nilisema nimeibiwa na mabaunsa wameshilikiana na wahudumu na wameniibia kila kitu na ushahidi ni gari nililokuja nalo lilikuepo parking...

Walijuta..
 
Bangi kete mbili kabla ya yote, then big G kama tatu, maji nusu lita, samaki wa kuchomwa na limao au supu ya ng’ombe ya jioni halafu limao nyingi , konyagi ndogo au vant ndogo huku natafuna korosho au karanga mbichi, mfuko ukiwa vyema grants, JD, black&white au red label, najikataa asubuhi, nakunywa maji lita moja, matunda kidogo kama chungwa na ovacado maisha yanaanzia hapo
Wachaaa wee binamu huyooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bangi kete mbili kabla ya yote, then big G kama tatu, maji nusu lita, samaki wa kuchomwa na limao au supu ya ng’ombe ya jioni halafu limao nyingi , konyagi ndogo au vant ndogo huku natafuna korosho au karanga mbichi, mfuko ukiwa vyema grants, JD, black&white au red label, najikataa asubuhi, nakunywa maji lita moja, matunda kidogo kama chungwa na ovacado maisha yanaanzia hapo
Mtu akisoma hii comment akaenda kupiga mahesabu ya;
1. Bangi kete 2.
2. Big G tatu.
3. Maji nusu lita.
4. Samaki wa kuchomwa na limao.
5. Konyagi ndogo
6. Korosho

Anaweza kuona yeye tu ndo maskini. Humu mtandaoni tusome tu hizi nyuzi kujifurahisha. Ukiwa serious lazima udate. 😀🙌
 
Back
Top Bottom